Search results

  1. Albaab

    Fanya mambo yako achana na kusaidia wanawake. Wanawake ni wabinafsi sana na hawana shukrani

    Mleta mada naona umemteatea mama na mke, wote ni wanawake ishini nao kwa akili Mama Rebecca Isaac alihusika kupora baraka za kaka mkubwa Esau!!!!
  2. Albaab

    TEC, CCT, CPCT Kemeeni yanayoendelea Zanzibar ili kuwalinda Wakristo waishio Zanzibar

    Kwaio na watalii wazungu nao hawali kipindi hiki cha mfungo au kichapo ni kwetu tu sisi wenyeji?
  3. Albaab

    Hakuna wa kuwakemea wafanyabiashara, Awamu ya 6 ni awamu yao

    umekaa ofisini kwa nidhamu yote unasubiri kalaki 5 kako kesho kutwa kumbe wenzako hapohapo wanajikatia keki kimyakimya wanahia kwenye nyumba zao wewe unabadili mageto ya kupanga tu. JIONGEZE hii ni nchi ya KUJIONGEZA
  4. Albaab

    Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    acha kuendekeza ujinga
  5. Albaab

    Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    mutu muzito anakaaje jalalani?
  6. Albaab

    Nchi ya Madokta (Phd's) wengi bila faida

    kuna jamaa alijua kilaza o-level yani kilaza kabisa, ila leo na yeye ana phD. Nchi yakijanja sana hii, usipoelewa namna mambo inaenda huku utapata shida kidogo.
  7. Albaab

    Huu utamaduni wa kuwapeleka wake zetu kwao wanapokuwa wajawazito ni wa kipuuzi sana!

    mwambie kiande huyu, mtu una savung hazizidi laki 4 kwa mwezi unatupigia makelele hapa. TAFUTA HELA, la sivyo utasaidiwa milele
  8. Albaab

    Waliomteka Baba Wa Mikel Obi walijuta baada ya habari kumfikia Abramovic

    au sio, kwaio MO wa simba sio bilionea
  9. Albaab

    Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

    we ndo unawaza ngono, mimi nimetumia usanifu wa lugha
  10. Albaab

    Mfahamu muigizaji Kajol

    sawa mithun
  11. Albaab

    Wema Sepetu, nakushauri fanya maamuzi ya kuasili mtoto

    taja bei yako chap kuna muindi anataka mtoto
  12. Albaab

    Mfahamu muigizaji Kajol

    kwaio uyu ndo kajala wa india? haya tuonesheni konde boi
  13. Albaab

    Mahojiano yangu na washirika wa FDLR kuhusu uhasama wao na RPF- Inkotanyi

    kinchi kidogo lakini stori miiingi, banae io ilikua GERMAN OST AFRIKA mkachomolewa kama mbavu moja ya Adam so technically Rwa na Bur ni wake zetu. Tutakuja kuwaowa tu msijali
  14. Albaab

    Ujasiri wa kupiga 69 na wapenzi wenu mnautoa wapi

    bora ukoloni ungeendelea tu, viboko visingetupa fursa kama hizi na ma-sgr yangepita mpaka mtoni.
  15. Albaab

    Msaada: Mtoto wangu ana tabia ya kupiga wageni na kusema 'toka kwetu'

    nialike mimi nije kula, nitamfundisha hatarudia tena
  16. Albaab

    Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

    mkuu huo uongo hata hapa kwetu unafanywa sana, mtoto ana wazazi wote wawili ila anapelekwa kituo cha watoto yatima. hii tabia ya kuona watoto kama mtaji wa kutokea kimaisha ni mbaya sana. Usishangae hata baba aliyebaka akajitokeza kudai mwanae
  17. Albaab

    Angelina Jolie aanza kusumbuliwa na Mama wa mtoto aliyemuasili

    kweli inasikitisha kama alibakwa ila hapaswi kumshobokea mwanae sababu alimkimbia! wakina mama wana nguvu kubwa sana ya kuwarubuni watoto, Jolie akilogwa tu akamruhusu Zahara aongee na ***** kwa simu IMEKULA!
  18. Albaab

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kwaio bolonya leo mlimkimbia?
  19. Albaab

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nlipata akili za ghafla sana nkabadili gia angani
Back
Top Bottom