Search results

  1. S

    Bei ya mashine ya kukamua alizeti. Wenye uzoefu na changamoto zake

    Wadau tufahamishane kuhusu gharama za mashine mpya ya KUKAMUA ALIZETI . Na wenye UZOEFU mtuambie CHANGAMOTO ZAKE
  2. S

    Muongozo wa bei ya trekta kwa ajili ya kilimo

    WanaJf, Nina wazo la kununua trekta ila changamoto niliyonayo ni gharama kubwa na kiwango cha fedha nilichonacho ni 15 million. Tusaidiane wadau wapi nitapata hata kwa mkopo wa kutanguliza asilimia flani ya malipo kutimiza ndoto yangu.
  3. S

    Hivi ni kweli??????

    Kuna mzee baba apa (muhenga) nimejadiliana nae kuhusu masuala ya kuoa na haswa kwenye uchaguzi wa mwanamke.Ameshauri Ni Bora ukaoa mwanamke mnene kwa sababu asilimia 80% ya mabinti wembaba hua hawaridhiki kwenye tendo la ndoa lakini pia wengi sio waaminifu kwa sababu uvumilivu wao ni mdogo...
  4. S

    Kunani msimbazi?

    Jamani mi nasikia Mo Dewji kagoma kutoa pesa za usajili kisa Ni kukosa hati ya timu ya Simba ambayo inashikiliwa na Mzee Kilomoni. Na hiyo ndo iliyopelekea michakato ya kuwasajili baadhi ya wachezaji kama Ajib,Tuyisenge,Kahata,Bwalya, Kambole,etc imebaki kua tetesi maana huku vyura wananipa...
Back
Top Bottom