Search results

  1. K

    Samsung laptop for sale

    Ni sh ngapi. Na upo wap
  2. K

    electronics shop msaada

    Anayefaham duka la jumla na rejareja vivfaa vya electronic s hasa laptop kwa dar ,mm npo mkoan
  3. K

    A new Lenovo Min laptop for sale

    ni nchi ngap
  4. K

    Natafuta duka linalouza laptops kwa bei ya jumla au rejareja

    WanaJF, Unafahamu au wewe ni muuzaji wa electronics hasa laptops kwa bei za rejareja au jumla naomba kunitajia majina/jina ya maduka yanayohusika na biashara hyo hapo Dar ili niweze kufanya nao biashara. Mimi nipo mkoani.
  5. K

    Ticha gani wa twisheni ulikuwa unamkubali sana

    ticha Robby au seanrobby mdogo umri lkn ni Nouma, yaan physical chem na organic chem imelala pale,kaikamata mbeya yote. ...viva sean nawakimbiza huku skul coz of you
  6. K

    Ukifanya Mapenzi siku ya pili baada ya hedhi unaweza kupata Mimba?

    Kwa ufafanuz zaid ni kwamba kwa mwanamke ambaye siku za mzunguko wake hazibaliki yaani ni 28 Basi maelezo ni kama ifuatavyo: Mfano siku ya kuanza bleed ilikuwa tarehe 31 mwezi Wa kumi basi siku ya hatari zaidi itakuwa tarehe 14 mwez wa kumi na moja ambapo yai linakuwa tayari lipo katika mirija...
  7. K

    Msaada heslb

    Dah tumbo joto nw limetulia, loan hyo nono nikwenda kupiga msuli tu
  8. K

    Heslb

    C 2014 hyo
  9. K

    Stationery & Bookshop

    Wanajf nimefungua stationary ambayo ninauza vitab mbalimbali hasa vya high school km s chand, nelcon,BS etc ila nahitaj photocopy machine, sjajua ni aina gani ndo nzur na ni kwa bei gani
  10. K

    Chuo cha Afya Morogoro

    Kipo kilakala , ni st francis
  11. K

    Mbeya - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mbeya mjini sugu hana mpinzani,kata ya mabatini imeshinda ngaz zote chadema
  12. K

    bachelor of science in applied geology

    Sio kiivyo, kuna frnd ang anao mba nimshaur sa mi siijui kiundan hyo coz
  13. K

    Mkopo

    Inategemeana na coz uliyochaguliwa, wapo wengi waliosoma private na wanamkopo kikubwa courz iwe n priority kweny TCU guide book
  14. K

    bachelor of science in applied geology

    WanaJF ivi hyo coz inaajira kwel au ndo mwendo Wa kujiajir
  15. K

    Msaada heslb

    OK thanx
  16. K

    Msaada heslb

    Poa poa mdau nmekusoma
Back
Top Bottom