Search results

  1. abdulh iddy

    medical laboratory attendant anatafuta kazi

    Habari wana jf.kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mtaalamu wa afya upande wa maabara.naombeni ushirikiano wenu kwa mwenye nafasi,connection Za Kazi. tusaidiane. Ahsanteni
  2. abdulh iddy

    W3 bei pouwa 115000

    simu bado mpya imetumika mwezi mmoja ila inazingua kwenye kupandisha minara inabagua sehem sehem nayokaa mim inapanda flexh ndo huwa naitumia kwa kila kitu tofauti na sehem hyo haipandi wala hasomi lain yana emergence call or no service.haina tatizo lingne ila spika ilibadilishwa ila ipo pouwa...
  3. abdulh iddy

    Naomba kufahamishwa vyuo vya kusomea kufundisha Nursery School

    Husika na kichwa cha habari. Kwa anavijua vyuo vya kusomea kufundisha nursery shool. Tafadhali msaada
  4. abdulh iddy

    TECNO W4

    husika na kichwa ya habar apo juu.Naomba kuuliza dukan w4 tecno ni sh ngap??? ahsante.Nawasilisha
  5. abdulh iddy

    Kozi gani ya afya yenye soko hapa Tanzania tofauti na MD?

    labaratory attendant inahusiana na nn na kazi zake ni zipi
  6. abdulh iddy

    BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN COMMUNITY HEALTH

    vp kuhusu labaratory attendant imekaaje hyo kozi.
  7. abdulh iddy

    Tunaoenda kusoma Kam collage of health science Tukutane Hapa.

    Husika na mada tajwa hapo juu.Kwa wale waliochaguliwa au wanoenda kusoma kam collage tukutane hapa mambo muhimu yanayohusiana na chuo hicho.NAWASILISHA
  8. abdulh iddy

    Clinical officer vs medical laboratory

    ufafanuz wa hii koz labaratory attendant vp ni nzur au.
  9. abdulh iddy

    Kati ya Pharmacy na Laboratory Technology, ipi ni fani yenye maslahi makubwa?

    Nataka kusomea labaratory attendant vp kwenye ajir zake hazisumbui kupatikana
  10. abdulh iddy

    NACTE yatoa majina ya waliopata nafasi ya kujiunga na vyuo ngazi ya cheti na stashahada 2016/2017

    msaada kuniangalizia namba hzi Username s1746/0059/2014 pass 9e2v3scp
  11. abdulh iddy

    Je naweza kuapply kozi gani za Afya?

    kasomee labaratory attendant
  12. abdulh iddy

    Naomba kujua kuhusu kozi ya Laboratory Attendant

    Husika na kichwa cha habari tajwa. Nataka kusomea hii kozi, vipi ni nzuri na inalipa kwenye soko la ajira? Na kwenye sekta ya afya ni nzuri? Ushauri tafadhali.
  13. abdulh iddy

    Vodafone smartkika for sale

    Vp ina whatsapp,twitter,instagram,tango,viber,fb,yahoo na n.K.Kama inavyo chukua 250 mkuu.
  14. abdulh iddy

    Chuo kizuri cha private clinical medicine diploma

    nishaurin nisomee laboratory attendat au nn na je ni nzur hyo au vp??? na jee maana yake nn??
  15. abdulh iddy

    Kurejesha akaunti yangu

    rejea kicha cha habari hapo juu.Akaunti yangu ya gmail haifunguki.Nijaribu kuingia wanasema ukurasa haupatikani.Cjui tatizo nn kwa anaejua. hatua za kuweza kusolve hli tatzo. nawasilisha.
  16. abdulh iddy

    Kuirejesha akaunti yangu ya gmail

    akaunti yangu ya gmail imefungwa msaada hatua za kuirejesha.Nawasilisha
  17. abdulh iddy

    Utaratibu wa kuapply KAM College

    sawa kiongoz ila nimejarib kudownload inaingia kam virus.Naomba kama itawezekana download then attach hapa mkuu itakuwa pouwa.
  18. abdulh iddy

    Utaratibu wa kuapply KAM College

    Husika na kichwa cha habari. Naomba mwenye kujua aniambie masomo yanaanza lini? Je utaratibu wa kuapply upoje au ni kwenda kuchukua form? Na je vigezo vya kudahiliwa ni vipi? Nawasilisha
Back
Top Bottom