Search results

  1. M

    [Reggae] Damian Marley - Nail Pon Cross

    Cool a dem vibes, reggae Haffi conquer still
  2. M

    Tanzania ya viwanda.

    Nabii umetisha...!
  3. M

    Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

    Mbona yupo Poa tu, laziada Ni picha ya juu kavaa kitu juu ya Blazer, nadhani ndio iliyo mtoa vibaya
  4. M

    Ajali pikipiki aina ya Boxer na gari aina ya taxi zimegongana

    Na hii ya boxer ilibeba dereva na abiria... Inasikikaje mkuu?
  5. M

    Muscat Oman

    Mkuu, Oman Ni Tanzania-B na Tanzania Ni Oman-B, nakubaliana na wewe wale ni wenzetu
  6. M

    Hii kauli ya Rais kuhusu Wahehe inanikera sana

    Kwani akiwa Mwanza huwa anaongea na wasukuma? Nadhani huwa anaongea na watanzania kwa ujumla wetu
  7. M

    Hii Imenivunja mbavu Leo...!

    Akili Ndogo kakukosea nini?
  8. M

    Rais Robert Mugabe kugombea tena urais mwaka 2018

    Nadhani ndio nia yake mkuu
  9. M

    Hivi hawa dada zetu ni nani kawaroga_?

    Nimekoma mimi mkuu
  10. M

    Kidume mzima unaanzaje kufanya birthday party?

    Nashauri watu wawe wanakwenda makanisani na misikitini kutoa sadaka za shukrani kwenye siku zao za kuzaliwa badala ya kufanya hizo birthday parties za kujifurahisha wao, atoae zawadi ya uhai na afya ni Mungu Mwenyezi
  11. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Na zungumzia afrika mashariki! Ukombozi unatoka wapi? Matusi ya nini? Au ndio ukenya ume kukolea? Kweli Mimi Ni mswahili na wakujivunia
  12. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Binafsi nawajua wakenya, nimeishi kwenu Kama investor, vitusi vyako uchwara havinitumbui, our history speaks it all.
  13. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Kaona nini tena! Nimemfafanulia hapo juu, the called neighbor is more than what we see of him
  14. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Umesema kweli mkuu, ndio maana Nasema serikali zetu za nyuma zilikua na shida, naamini serikali hii inaliona hili kama wewe na Mimi tunavyo liona, uko sahihi
  15. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Tatizo ni serikali zetu za nyuma, KIA inauwezo kama Airports za Dar na Nairobi, kwa hilo ondoa shaka
  16. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Tatizo liko sehemu tofauti, sivyo anavyo kuaminisha, unatakiwa uwajue Wakenya kwa ujumla wao kunielewa, in short they are simply wicked
  17. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Kwahiyo Airport unayoijua Ni Dar tu? Acha hizo! Pia Mkenya huwa asemi mlima upo kwake ila husema njoo Kenya utaona au kupanda mlima, ni sentensi isiyo mfunga kisheria, serikali zetu za nyuma hazijawahi kuwa creative kwenye sekta hiyo
  18. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Kama ningeweza ishauri Serikali, ningewaomba washirikiane na Nchi zote isipokua Kenya, historia yetu inanifanya niamue hivyo.
  19. M

    Tanzania ikifunga mpaka wa Namanga na Taveta-Holili, hakika watakiri kuwa Kilimanjaro ipo Tanzania

    Uliposema sisi sio wazalendo weka full-stop, kwani swala la upendo kwetu ni zaidi ya hao wakenya
Back
Top Bottom