Pole sana mkuu, sisi binadamu tunatabia ya kusahau tulipotoka,hatuna shukran na kuto kuwa proud na watu waliofanya ufike mahali fulan.
Usivunjike moyo endelea kuwasaidia na wengine pale inapobid na unapo msaidia mtu ww msaidie tu usiwe na expectations zozote. Kama unaye msaidia atatambua...
Mkuu serikali haina dini ila inatambua uwepo wa dini na imani za watu, na ndo mana ata mashuleni kuna muda umetengwa maalumu na kuingizwa kwenye time table kwa ajili ya vipindi vya dini.
Apo sidhan kama kuna tatizo
Miasha huwa yana badilika na hayana formula. Apo unaposema mnaangalia sehemu ya uwakika kwa ajili ya future ikitokea huyo mtu wa uwakikisha akayumba kuichumi na kupoteza raman what next?
Wapo wanaweke wenye uvumilivu na subra.
Note: this not kwa hao piskali
afu kwenye swala la kuhudumia inategemea huyo mwanamke anataka kuhudumiwa kwa kias gan na mazingira. Sisi tunatoa hela pale tunapoona kuna uwitaji kwel.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.