Search results

  1. White party

    Serikali ajirini Walimu wa masomo yote, walimu wa Arts wanaelemewa

    Nawasalimu kwa kina la Jamhuri ya Muungano, Kumekuwa na utaratibu wa serikali tangu mwaka 2017 kuajiri walimu wa sayansi na hesabu tu,ikitokea arts imeguswa basi ni Kiingereza pekee hali hii imefanya idadi ya walimu wa masomo mengine ya arts kuzidi kupungua mashuleni na hata kama hawapungui...
  2. White party

    Tujitahidi kutunza pesa,mimi nilianza hivi

    Nilipata changamoto kubwa sana first born alipoanza shule,kila tukitunza ada na mwenzangu ilikua haitunziki hata tukipata ka tatizo kadogo tunachukua hapo hapo vichwa viliuma kwelikweli. Tulijitahidi Hadi kuweka kwa watu lakini ka pepo ka si Kuna hela kwa fulani hakakutuacha salama,ikabidi...
  3. White party

    Walimu wagoma, kisa mwenzao kuzabwa kofi darasani

    WALIMU wa shule ya msingi Kianda wameanza mgomo wa siku mbili wa kutofundisha shuleni hapo huku wakilaani kitendo cha Ofisa Elimu (Shule za Msingi) wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Peter Fusi kumshambulia na kumpiga makofi mwalimu mwenzao akiwa darasani mbele ya wanafunzi...
  4. White party

    maoni, ushauri, mapendekezo, kuhusu elimu yetu

    Salaam, Naamini watanzania wengi tunapenda nchi yetu isonge mbele, na hili linaweza kubebwa vyema kama elimu yetu itakuwa kwa ajili ya kutukomboa Hivyo basi tuungane katika kushauri serikali, wanafunzi na wote wanaohusika, nini kifanyike ili elimu yetu isaidie vizazi vyetu, mimi ntaanza na...
Back
Top Bottom