Search results

  1. H

    Sherehe za watu wenye ulemavu zilimpigaje chenga Magufuli?

    Naungana nawe Doroth, hii sherehe ilikuwa na bajeti ya fedha za kitanzania shilingi milioni hamsini. Tena kwa siku tatu, mbili za mwanzo na kilele chake leo; nimeshiriki katika kamati ya maandalizi.
  2. H

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Hongera kwa wazo zuri na maono. Mimi niafuga hao vitimoto, na mpaka sasa nimefikisha kama 250 hivi. Kitu muhiimu sana nachoweza kukuambia ni chakula, hao wanakula usiombe, madawa, yaani kuwepo na mtaalam ambaye anakuja kuwaona angalau after every two weeks, minyoo inawafanya wadumae sana...
  3. H

    Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Hujanikaba kiongozi wangu, mimi siongei story tuu, ni ukweli na uhakika, ona haopa: (a) Kampuni-PR TRIPPLE COMPANY LIMITED,Reg.118286,hii ni tarehe 24/6/2015 (b)NGOs-WEZA ACTION FOR DEVELOPMENT,Reg.118287,hii ni tarehe 24/6/2015 Ingia Brela ujionee, ingiza jina itakupa na taarifa za...
  4. H

    Tutakusaidia kusajili jina la biashara, kampuni, NGOs, Shule kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi

    Kweli pongezi nyingi sana kwa Busiminet. Mimi binafsi nimefaidika nao. wamenisajilia kampuni na NGO ndani ya siku saba tu. Siwafahamu kwakuwaona, zaidi ya kuwasiliana kwa simu ya mkononi na e mail. Nimefanya malipo yalipohitajika, nimetuma taarifa zote zilizohitajika na sasa nina kampuni yangu...
  5. H

    Lowassa: Tuko tayari kuingia vitani na Malawi...

    Jamani, huyu Lowassa ameingia madarakani akiwa tajiri tu!!!!!!!!!Kama kaongezea mali basi kaongeza ila hakuwa masikini. Ila tuseme ukweli tuweke itikadi zetu na vyama vyetu pembeni. Jamani Lowasa ni JEMBE! N i kiongozi ambaye ni tallented, nakumbuka alipokuwa waziri mkuu, alikuwa akienda mahali...
  6. H

    Kumbe hata ajali ya meli zanzibar imesababishwa na chadema

    Yaani wakuu mara nyingi huwa wanajamvi tunajikuta kumesahau kuchangia thread husika na kuanza kushambuliana wenyewe kwa wenyewe, ni vema tuchangie hoja ili kuleta manufaa na kutoa ufafanuzi pale tunapoweza kwa manufaa ya nchi hii. otherwise hayo hayatusaidii kwakweli
  7. H

    dawa za ukimwi hizooo

    Hi jamani huruma! sijui wataalam wetu wanaweza kumsaidia? aende huko mahospitalini
  8. H

    Tuntemeke Sanga: Mbunge aliyekuwa na elimu ya Shahada 7, aliyechachafya miaka ya zamani

    Ndugu umenena ukweli mtupu, unajua historia yake, nimekubali. Nakumbuka enzi hizo tulipokuwa shule ya msingi kulikuwa na usemi maarufu sana kwamba... Tuntemeke sana alimbhaha, asomile kuliko unyerere- maana Tuntemeke sana ni mkubwa, kasoma kuliko Nyerere, alikuwa vizuri kwakweli!
  9. H

    Wapinzani Tanzania ni Wanafiki - SAMWEL SITTA

    Kwasababu ya U-N-A-F-I-K-I
  10. H

    Zitto Kabwe aripoti Akiwa JUBA sasa hivi

    Yaani huwezi amini, tunawakilishwa na wamasai amabo nawaona ni wajasiri na wanajituma! nimeona makala TBC 1 nikaumia, waTZ nani ametuloga????
  11. H

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Mpakanjia watampata wapi sasa??
  12. H

    Tujadili Kiukweli (Wanaume tu)

    EHHHH Jamani, wanaume wote wangekuwa na moyo kama wapo kaka yangu, hata asiposaidia kazi kama wewe ila muelewa angalau tuuu, mbona ndoa zingechanua kila siku!!!!!!!!!!! Wenzio wengi wanawaza kuonja kila mahali tuuuuuuuuuuu hawatosheki, mbaya sana!
  13. H

    Tujadili Kiukweli (Wanaume tu)

    Pamoja na ukweli kwamba wanawake kunakujisahau, ila wanaume jamani ukwareeeeee muache, yaani hata ukiweka mipaka na kufanya mambo yako kwa uzuri na kutimiza wajibu kama mke, mhhh bado jamaa ni kumkodolea beki 3 mpaka inaudhi yaani jamani sasa lipi jema Wapo wanaume wana mahusiano na...
  14. H

    Baraza la mawaziri la kikwete - so far!!!

    Bado wanajipanga watoke vipi!!!!!!!!!!!!!!!
  15. H

    Balali yuko HAI - He is not dead

    Wakati tunaendelea na kuumiza vichwa juu ya ufisadi CCM na serikali yake na mafisadi, kuna habari za kuaminika kwamba aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu yaani BALALI yupo na anakula BATA SWEDEN.. I WILL COME BACK
  16. H

    Uchangudoa

    Wanatafuta maradhi wapelekee wenzi wao! Yana mwisho!
  17. H

    Uchangudoa

    Wanatafuta maradhi wapelekee wenzi wao! Tana mwisho!
  18. H

    Umuhimu wa busu (importance of kiss)

    Nashukuru sana, maana si kila mtu ajua hili, nimeipenda sana
  19. H

    House girl wangu ananitega

    Whaat?? Yaani unadiriki kufikisha hapa??? Wewe unamtaka, achan kabisa mzaha, utaharibu ndoa, wajua watu hatujui umuhimu wa ndoa mpaka ikiharibika ndo utajua, acha izo kabisaaaa!
  20. H

    Mwanaume anahitaji mwanamke malaika wakiwa sebuleni na mwanamke mtundu wakiwa chumban

    Wanaume bwana, hata ukiwabebe mgongoni wanateleza, hata sijui tuwafanyie nini?? Enzi za utumwa zimepita kumbika, ukitaka raha toa raha pia uaminifu una matter sana! siwezi kufanya vimbwangaaa nikijua fika una gawa hovyooo! roho inazimia jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom