Search results

  1. G

    Naombeni ushauri

    mkuu game ilishapigwa ila no kurudia tena mpaka ndoa, hakuna changa la macho
  2. G

    Naombeni ushauri

    ndio maana nikaomba ushauri kwa wana jamvi mnijuze the right way nichukue..
  3. G

    Naombeni ushauri

    may be..
  4. G

    Naombeni ushauri

    hapo ndo pagumu mtu wangu, maana naipenda hiyo kitu zaidi ya maelezooo
  5. G

    Naombeni ushauri

    nampenda sanaaaa, yaani tatizo imani na sheria za kisabato ndo zinanishinda.
  6. G

    Naombeni ushauri

    Habari ndugu zangu, mimi nina Girlfriend wangu tumekuwa pamoja kwa muda wa mwaka mmoja sasa. ki ukweli nimetokea kumpenda sana binti huyu hasa kutokana na uhusiano wetu na jinsi nilivomkuta akiwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanaume yeyote, tofauti yetu ni dini yeye ni msabato nami mlutheri...
  7. G

    Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

    nafikiri ndio maana hawakutangaza walitaka kwanza kuangalia ni wangapi watapita katika kuchaguliwa then waongezee na viti maalum, lakin hili la kupeleka kule ambako bado kumepoa ni lamsingi sana kama vile lindi, mtwara na dodoma ili kupeleka chachu ya maendeleo.
  8. G

    Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

    CHADEMA KUPITIA REGIA MTEMA WAMECHUKUA JIMBO LA KIROMBELO. Kura 38,550 SOURCE:- ITV
  9. G

    Elections 2010 ITV wamtangaza REGIA MTEMA kushinda jimbo KILOMBERO, warekebisha baada ya muda...!

    Imethibitishwa kilombero kuchukuliwa na chadema baada ya vuta ni nikuvute nec kushindwa kuchakachua matokeo hayo
  10. G

    Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

    sio kweli CHADEMA NDO WAMESHINDA
  11. G

    Elections 2010 Kwa matokeo haya ya nec....!

    Kwa matokeo haya Tanzania must draft its own meaning of democracy and not the one that says power in the hands of the people
  12. G

    Elections 2010 Je ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?

    usiwe mvivu wa kufikiri cjauliza mm mshindi nani, nimeuliza kitu kingine we unaniambia kingine, kama huna la kuongea piga kimyaa
  13. G

    Elections 2010 Je ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?

    hilo lisikupe shaka nipe majibu na unachofahamu juu ya hilo.
  14. G

    Elections 2010 Je ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?

    Ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?, kama ni kweli amechukuliwa hatua gani..?, mbona yule aliyekamatwa na karatasi 2 shinyanga amefungwa miaka 3, na vipi aliympatia hiyo karatasi amechukuliwa hatua gani..?
  15. G

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Weraweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  16. G

    Elections 2010 hizi computer za kuhesabia matokeo mmmh!

    mimi sielewi system inasaidia kurahisisha kazi, inakuaje hapa zifanye kazi iwe ngumuu..?, kwa kweli mimi sielewi hapa tatizo nini
Back
Top Bottom