Elections 2010 Je ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?

Godfrey Mwaja

Member
Oct 15, 2010
24
0
Ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?, kama ni kweli amechukuliwa hatua gani..?, mbona yule aliyekamatwa na karatasi 2 shinyanga amefungwa miaka 3, na vipi aliympatia hiyo karatasi amechukuliwa hatua gani..?
 
Kijana kwanza karibu jamvini na humu sio kila unachowaza ukitengenezee thread what is maboc?
 
sasa wataka kufaam au maelezo kiundani???
kwa ufupi mahanga ndo mshindi
 
swali lilikuwa amekamatwa na masanduku, sio yeye ni mshindi au la?:nono:

Ndio maana mnafeli mitihani na kujieleza jibu swali?:doh:
 
BINAFSI NINAOMBA FIGURES ZA HUKO KWA MAHANGA?
Tumeibiwa: Shinyanga mjini, Kibaha Mjini, Kilombero, na sasa Segerea?
Huyu Mungu kwa kuwa anaona kila linalofanyika, na kwakuwa tunasoma ktk maandiko yake kwamba mamlaka zooote zinatoka kwake, Basi yeye anajua yale yanayotusibu sisi tuliodhulumiwa haki zetu, na hivyo basi afanye yale yanayofaa machoni pake
na sote tuseme AMINA
 
:focus:Jamani bado hamjampa Mwaja majibu
Kama kuna aliyeko battle ground atuambie

ni kwali alikamatwa na masanduku ya ya kara ambayo yanakaratasi za Kura
maana kama ni kweli na mpendazoe akifungua kesi anaweza kurudi bungeni............ila kwa system zetu za kimahakama
anaweza kurudi 2013 au 14 kumalizia!!!
 
Back
Top Bottom