Je ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Godfrey Mwaja, Nov 3, 2010.

 1. G

  Godfrey Mwaja Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mahanga alikamatwa na mabox ya kura..?, kama ni kweli amechukuliwa hatua gani..?, mbona yule aliyekamatwa na karatasi 2 shinyanga amefungwa miaka 3, na vipi aliympatia hiyo karatasi amechukuliwa hatua gani..?
   
 2. Sokomoko

  Sokomoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kijana kwanza karibu jamvini na humu sio kila unachowaza ukitengenezee thread what is maboc?
   
 3. G

  Godfrey Mwaja Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka namaanisha masanduku ya kura
   
 4. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa wataka kufaam au maelezo kiundani???
  kwa ufupi mahanga ndo mshindi
   
 5. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwa mapana na marefu Mahanga ni mwizi tena jambazi mkubwa hawezi kuwa mshindi!!!!! atashinda nani kampigia kura??????
   
 6. Anatoly

  Anatoly Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 23, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  swali lilikuwa amekamatwa na masanduku, sio yeye ni mshindi au la?:nono:

  Ndio maana mnafeli mitihani na kujieleza jibu swali?:doh:
   
 7. B

  Babasean Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BINAFSI NINAOMBA FIGURES ZA HUKO KWA MAHANGA?
  Tumeibiwa: Shinyanga mjini, Kibaha Mjini, Kilombero, na sasa Segerea?
  Huyu Mungu kwa kuwa anaona kila linalofanyika, na kwakuwa tunasoma ktk maandiko yake kwamba mamlaka zooote zinatoka kwake, Basi yeye anajua yale yanayotusibu sisi tuliodhulumiwa haki zetu, na hivyo basi afanye yale yanayofaa machoni pake
  na sote tuseme AMINA
   
 8. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!!It is still questionable!!!
   
 9. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  :focus:Jamani bado hamjampa Mwaja majibu
  Kama kuna aliyeko battle ground atuambie

  ni kwali alikamatwa na masanduku ya ya kara ambayo yanakaratasi za Kura
  maana kama ni kweli na mpendazoe akifungua kesi anaweza kurudi bungeni............ila kwa system zetu za kimahakama
  anaweza kurudi 2013 au 14 kumalizia!!!
   
 10. G

  Godfrey Mwaja Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo lisikupe shaka nipe majibu na unachofahamu juu ya hilo.
   
 11. G

  Godfrey Mwaja Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usiwe mvivu wa kufikiri cjauliza mm mshindi nani, nimeuliza kitu kingine we unaniambia kingine, kama huna la kuongea piga kimyaa
   
Loading...