Search results

  1. only83

    Majina ya matawi maarufu ya Simba na Yanga jijini Dar es Salaam

    Habari za hapa jamvini wadau! Naomba mwenye majina ya matawi matano MAARUFU NA YENYE WASHABIKI KINDAKINDAKI ya Simba Sports Club na Young Africans Sports Club yaliyopo DSM anitajie na mahali yalipo. Kuna utafiti unatakiwa kufanyika, na kwa hiyo naomba kama huna taarifa za msaada usiharibu...
  2. only83

    Chama kipya cha ACT Tanzania chaendelea kurudia makosa ya vyama vya Upinzani Tanzania

    Jana Zitto Zuberi Kabwe amechukua kadi ya uanachama wa chama kipya cha ACT-Tanzania na kuwa mwanachama rasmi pamoja na kuwa mwanachama wa ACT-Tanzania kwa kificho kwa muda wa mwaka mzima. Hii inaweza ikawa ni furaha kwa wanachama wachache wa ACT-Tanzania ambao walikuwa wanasubiria kwa hamu...
  3. only83

    Kikwete atunukiwa PhD nyingine Mandela University - Arusha

    ...Naam Jakaya sasa anakuwa na Phd karibia ya 5+ baada ya kulamba nyingine leo kwenye mahafali ya Mandela Institute of Technology. Na ametajwa kama mwanazuoni bora kwenye masuala ya sayansi. Amesema kuwa ataendelea kuendeleza sayansi ndani ya nchi. Source: ITV Habari My Take: Nadhani sasa...
  4. only83

    Hawa Ghasia: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa umefanikiwa kwa 95%

    Akiongea na waandishi wa habari leo hii, waziri mwenye dhamana ya Wizara ya TAMISEMI Bi. Hawa Ghasia ametoa mpya kwa kudai kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliogubikwa na madhaifu lukuki umefanikiwa kwa asilimia 95. Amedai kuwa, mapungufu madogo madogo yaliyojitookeza yanaendelea kufanyiwa...
  5. only83

    Anthony Lusekelo: "Tanzania inakwenda kuanguka muda si mrefu"

    Akihutubia kwenye ibada ya Jumapili kanisani kwake, Mchungaji Antony Lusekelo alimaarufu Mzee wa upako amesema kuwa Tanzania kama nchi inakwenda kuanguka muda si mrefu. Akiongea kwa uchungu na masikitiko makubwa, Mchungaji Lusekelo amesema ukiona viongozi wakubwa wa nchi wanapata ujasiri wa...
  6. only83

    Balozi Sefue: Tumepokea mapendekezo ya bunge, ila tunataka kwenda deep zaidi

    ....Katika kile kinachoonekana kama sakata la ESCROW kuanza episode nyingine, katibu mkuu kiongozi Balozi Sefue amekiri kupokea maoni na mapendekezo ya bunge, ila amesema uchunguzi unaendelea kuona kama kweli tuhuma hizo ni za kweli au la!! My Take: This is another episode, let us stay tune...
  7. only83

    Mkomboz commercial bank watoa tamko lao juu ya sakata la escrow

    MICHUZI BLOG: Taarifa ya benki ya biashara ya Mkombozi juu ya sakata la Escrow Fuatilia link hii hapo juu.
  8. only83

    Fahmi Dovutwa: Uchaguzi wa ndani ya chama changu utafanyika baada ya kuviangusha CHADEMA na CUF

    Kama tunavyofahamu Mlezi wa vyama vya Siasa Jaji Mtungi alitangaza auditing kwa vyama vya siasa ambavyo avijafanya chaguzi zao za ndani kulingana na katiba zao. Pamoja na sababu nyingi zilizotolewa na vyama hivyo, kuna vituko toka kwa DOVUTWA na CHEYO SOURCE: NIPASHE
  9. only83

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Katika hali ya kuonekana kuanza kukwama kwa katiba, M/kiti wa bunge la Katiba nduguSamuel Sitta ameunda kamati ya maridhiano kwa ajili ya kujadiliana na wale waliosema HAPANA. Hii ni njia ya kutafuta 2/3 ya kura.
  10. only83

    Samwel Sitta: ACT-Tanzania ni chama kipya kinakuja kwa kasi sana, hongereni

    Mwenyekiti wa Bunge la katiba ndugu Samwel Sitta ameendelea kudhihirisha kwa umma wa watanzania juu ya uwepo wa chama cha siasa kilichopata usajili ndani ya muda mfupi sana cha ACT-Tanzania. Huku akionekana kufurahishwa na ujio wa chama hiki Samwel Sitta anasema..."Wageni wengine ni Katibu wa...
  11. only83

    Askofu Mokiwa: Bunge la Katiba linaloendelea ni uhaini na ubatili mtupu

    Aliyekuwa askofu wa kanisa la Anglikana Tanzania, Askofu MOKIWA amesema kuwa bunge la katiba linaloendelea mijini Dodoma ni ubatili na ukatili kwa Taifa hili. Amesema kuwa wapenda amani wamekwisha sema na kuonya na Jukwaa la kikristo limetoa maonyo sana ila anashangaa kuna watu vichwa ngumu bado...
  12. only83

    Hamis kiswaga: Zitto kabwe rudi jimboni kwako utimize ahadi zako za 2010

    MY TAKE: Kwenye mahojiano ya Zitto Kabwe na Mwananchi News paper, Zitto alisema kuwa anafikiria kama asipogombea uraisi basi atagombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini. Kumbe huyu jamaa anakimbia udanganyifu anaowafanyia watu wa Kigoma Kaskazini. Na ndio maana Zitto akishinda kwa tabu sana 2010...
  13. only83

    Salum Mwalimu achukua fomu CHADEMA kugombea Ujumbe wa Kamati Kuu

    Hakika mambo yameiva CHADEMA. Mtangazaji wa Channel Ten na mfanyakazi wa VODACOM kamanda SALUM MWALIMU amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Ujumbe wa Kamati Kuu ya Chama hicho kundi la Zanzibar katika hafla fupi iliyofanyika ofisi kuu za CHADEMA kisiwani humo. Mwalim alichukua na kurudisha...
  14. only83

    CCM Mbeya waanza kutimuana, viongozi kadhaa watimuliwa

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Mbeya kimeisimamisha kamati ya siasa Wilaya ya Ileje kwa utovu wa nidhamu pamoja na kuwasimamisha viongozi wa Chama hicho kata ya Majengo wilaya ya Momba mkoani Mbeya. Hayo yalibainishwa jana na Katibu wa Siasa na uenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya, Bashiru...
  15. only83

    Makongoro Nyerere: CCM kusambaratika ndani ya mwaka ujao - 2015

    Mmoja wa watoto wa marehemu Nyerere ndugu Makongoro Nyerere amesema kuwa kuna dalili za wazi kuwa CCM itakwenda kusambaratika vibaya sana ndani ya mwaka ujao yaani 2015. Akasema kuwa hii inatokana na makundi makubwa yenye maslahi tofauti tofauti na hasa ya uraisi....akisema.."Kuna dalili kuwa...
  16. only83

    Kikwete: UKAWA wameenda likizo natumaini watarejea baada ya likizo

    Akihutubia wafanyakazi wachache sana waliojitokeza kwenye sherehe za Mei Mosi leo uwanja wa Uhuru, JK ameendelea kuonyesha kama ajali nguvu ya ukawa nje ya Bunge la katiba. Ameendelea kudhani kuwa UKAWA wanafanya utani, wakati nguvu ya UKAWA imeanza kuonekana jana kisiwani Zanzibar. Amesema na...
  17. only83

    Jaji Warioba afunguka, asikitishwa na kauli za viongozi wa CCM

    Hatimaye Jaji Warioba amefunga na kusikitishwa na upotoshaji mkubwa sana unaendeshwa na viongozi wa CCM juu ya Rasimu ya katiba. Amesema kuna uongo unaokuzwa kuwa Serikali tatu inasababisha jeshi kuchukua nchi, amesema kwanini iwe jeshi tu na wasiwe walimu nk? Akaendelea kusema kuwa akiwa...
  18. only83

    Mizengo Pinda: Hata sisi tutazunguka nchi nzima kuwaeleza wananchi, na watatuelewa...

    Katika kile kinachonekana kutojali au kuonyesha kuwa hawatishiki na UKAWA kujotoa kwenye Bunge la Katiba, Kiranja wa mawaziri ndugu Mizengo Kayanza Peter Pinda ametoa kauli hiyo siku la leo wakati wa kufunga maonyesho ya taasisi za Muungano yanayofanyika DSM. Akiongelea mchakato wa Katiba, huku...
  19. only83

    Wakazi wa Iringa waendelea kuikataa CCM waziwazi...

    Wakazi wa Iringa na vitongoji vyake wameendelea kuikataa CCM na serikali yake baada ya kuendelea kuonyesha kwa vitendo leo kwenye mkutano wake ulifanyika viwanja vya MWEMBETOGWA. Itakumbukwa kuwa siku za karibuni yaani mwishoni mwa mwaka jana, mbunge wa Iringa kamanda Peter Msigwa alifanya...
  20. only83

    Dr. Slaa: Wenyeviti wa CHADEMA waliojiuzulu kutokana na sakata la akina Zitto waomba kurudi

    Akiwahutubia wanachama wa CHADEMA katika jimbo la Kigoma Kaskazini, Katibu mkuu wa CHADEMA Dr W.Slaa amesema, kuwa kuna viongozi mbalimbali waliojitoa ndani ya chama baada ya Zitto, Kitila na Mwigamba kung'olewa wanaomba kurejea au kurejeshwa kwenye vyeo vyao. Source: ITV
Back
Top Bottom