Search results

  1. Enzymes

    Zifahamu aina za leseni kwa madereva

    Why kusiwe na Leseni ya kuendesha Magari binafsi na pikipiki kwa pamoja. Yaani hadi usome tofautitofauti na utembee na leseni 2 za nini sasa?
  2. Enzymes

    Zitto Kabwe na Cecil Mwambe waliondoka CHADEMA kishujaa bila kuogopa njaa!

    Zitto alisema atakuwa wa Mwisho kutoka CHADEMA. Tundu Lissu aka mfukuzia viwanja vya Mahakama b4 uwe una smartphone Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Enzymes

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Ni muda sasa Dunia ikiwa ina pambana na Janga la Corona. Modelling ya Wanasayansi nchini Kenya inaonesha kufikia mwishoni mwa mwezi April 2020 kuna uwezekano wa Kenya kuwa na Wagonjwa 10,000. US inaonesha by August 2020 marehemu wanaweza kuwa zaidi ya 82,000. Italy kwa sasa vifo ni zaidi ya...
  4. Enzymes

    Flyover ya Ubungo ya kishamba sana

    Flyover hata za Nairobi tu siyo kama huo mdaraja wetu!! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Enzymes

    I never trusted you guy...!!!

    Shida ya ZITTO ni mnafiki. Yy ana penda kila jambo bora lifanyike upande wake. ACT haina wafuasi Bara. Ila anajiona Mungu mtu. Ana jimwambafai ili ionekane ana nguvu! Kumbe mdomo tu! Binafsi sijawahi kumuamini huyu Dogo. Ni mchumia tumbo. Kule kigoma JPM alimpa dk5. Mbowe Mwz kaongea dk1 tu...
  6. Enzymes

    Update: Mashtaka dhidi ya makampuni manne ya simu

    Hongera kwa ku copy Kenya. Coz Kenya judgement ilikuwa Mwezi uliopita. Na jamaa alishinda. But in reality nothing has changed. Coz wameweka vifurushi vya aina2. With No expire date and With Expire date.
  7. Enzymes

    Je, Dodoma linapikwa kuja kuwa jiji namba moja ukanda huu?

    Shida una ongelea ushamba na lack of exposure! Dodoma ina nini? Maengo ya UDOM yalio jengwa kwa Ramani 1 kama Rental Houses au? Miundombinu yake haina hadhi ya mji Mkuu. Dodoma inazidiwa na mji mdogo wa NAKURU Kenya, siyo level hata ya MOMBASA. Ghorofa za NAKURU si chini ya 200. Dodoma ukitoa...
  8. Enzymes

    Je, Dodoma linapikwa kuja kuwa jiji namba moja ukanda huu?

    Inakua kutoka wapi? Tume toka mlo 1 hadi 2 basi. Ila hela ya kuwekeza ktk Multi-billion Projects Tz hakuna. Na huyu msukuma alivyo kuja na ukari wake ndio Wawekrzaji wooote wa viwanda vya maana Simu, magari, nk vimekibilia Rwanda na Kenya. Dangote nikama nae ana Recover Capital tu nae asepe...
  9. Enzymes

    Je, Dodoma linapikwa kuja kuwa jiji namba moja ukanda huu?

    Tanzania ni nchi maskini sana. Hivyo tunajisifia hata vitu vidogo vidogo sn. Dodoma haiwezi kuwa mji mzr kamwe!! % kubwa ya Watanzania ni maskini-mji haupambwi na majengo ya serikali bali Majengo mazuri ya Makazi ya Raia, Ofisi binafsi /Commercial Buildings, kwa Dodoma Bado sn. Imejazana na...
  10. Enzymes

    Adam Malima na RAS wako hapo Mara mjitathmini

    Mm siongei Mengi. Namtaka Bw. Anthony Mtaka awe mkuu wa Mkoa wa MARA, JPM sikia kilio changu. Au awanie Ubunge Musoma Vijijini. Hao akina Adam Malima ukuu wa Mkoa ni vyeo vya fadhila kwa Baba zao vyeo serikalini na CCM. Unakuta akili za ki uongozi ni sawa na Bashite. Kazi kunenepeana mitumbo tu!
  11. Enzymes

    PHOTOS - Uhuru has commissioned this massive Sh65 billion superhighway in Nairobi today

    Mm ni Mtanzania. Nawapongeza Kenya ktk Miundombinu. Tz ni siasa za Kijinga tupu! Mvua imenyesha wiki1 tu Dar nzima Bahari. Barabara zikafungwa!!
  12. Enzymes

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Watu wanaelewa haya mambo Usitake kuwafanya watanzania wajinga!! Huwezi implement hiyo sheria ili hali Life expectancy ya nchi yako ni miaka 45 hadi 50. Hiyo 60 ni ya kupika tu. Haya tu assume ni 60! Mtu ana staafu na 55 au 60. Una mlipa 25% na 75% ana dhulumiwa akifa na 62 yrs. Kabla...
  13. Enzymes

    Kwanini Akram Aziz amekuwa akitabasamu na kuonyesha uchangamfu alivyokuwa mahakamani jana

    Uwe una andika hoja za karne ya 21 siyo kuandika uoga wako
  14. Enzymes

    Kwanini Akram Aziz amekuwa akitabasamu na kuonyesha uchangamfu alivyokuwa mahakamani jana

    Unajua wanadunda? Hujui wana haha!! Hivi unajua aliye watuma ata dumu pale milele? Ngoma ni hapa hapa duniani. Ni suala la muda tu.
  15. Enzymes

    Mwalimu wa CISA anapatikana

    Mjinja. Hongera rafiki kwa kazi nzr. Nauliza kama naweza kupata Software ya Microsoft Project Management?
  16. Enzymes

    Certificate Program, Tanzania Institute Of Project Management

    Naomba kujua gharama zake za Programme. Mitihani ni masomo mangapi? Je ni ile ya UK au? Je naweza kupata Software ya Microsoft Project Mgt?
  17. Enzymes

    Mapambano makali yanaendelea Kusini Magharibi mwa Rwanda

    Weka source.. Mbona umeanza kurukaruka!! Mm nimetumia Western media.
Back
Top Bottom