Search results

  1. mr brocken

    CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Waambie wakati na umeme wa kwenye simu bac,
  2. mr brocken

    Mrema 1995 na Lowassa 2015

    Ebu tudadavulie kidogo mifano yako, yaani tuambie kule Zambia ni mwanasiasa yupi alitemwa na chama tawala na kuingia ikulu kwa tiketi ya upinzani, vilevile Ghana na ujerumani yalitokea hayo mwaka gani, chama gani, marais gani ?
  3. mr brocken

    Anayedaiwa kuwa malaika aanguka nchini Uingereza

    Ni malaika ikiwa UK, lakini Africa ni mchawi
  4. mr brocken

    Mauaji Ya raia VS Mauaji Ya Police.

    Hadithi hii ni tamu sana, malizia bac
  5. mr brocken

    Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Ok sisi tunatembea wao wanakimbia, sasa hapohapo ebu nisaidie nini kirefu cha M kwenye neno M pesa.
  6. mr brocken

    MKASA: Nilimuua rafiki yangu mwaka 1990, ananitokea akinitaka nikatubu

    Wewe ni muuaji na utaendelea kuwa muuaji mpaka unaingia kaburini, hakuna mtu anaruhusiwa kutoa uhai wa binadamu mungine hata kama yu mahututi kisasi gani, alafu unasema eti ulipata ujasiri ukamua kwa kumkaba, huo haukua ujasiri bali ulipata pepo la kuua na ndio hilo linaloendelea kukutesa
  7. mr brocken

    Eti Lowassa akijitoa CCM, atafilisiwa na kufanyiwa hujuma, nani kasema?!

    G3T, some times kuna vitu we unavyodhani haviwezekani lkni vikawezekana,
  8. mr brocken

    Taharuki Dar es Salaam: Abiria wajeruhiwa kwa kisu, mhusika auawa na wananchi

    We flora acha kushobokea kuua, ivi ingelikuwa ni ndugu yako kapatwa na maleria ya gafla, ndio akaanza kujeruhi watu, then wanainchi wanamuua, kumbe we utasheherekea eh!
  9. mr brocken

    Taharuki Dar es Salaam: Abiria wajeruhiwa kwa kisu, mhusika auawa na wananchi

    Watu wa dar muna roho mbaya, wala haikuwa isue ya kuua hii, kwa sababu yawezekana kbsa kwamba huyo jamaa alichanganyikiwa baada ya kulishwa limbwata na demu wake, au maleria yamepanda kichwani. sasa munamuua alafu watoto wake nani atawalea
  10. mr brocken

    Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamuua kwa risasi raia wa Ufaransa

    Asante kwa taarifa, lkn mbona nina mashaka na wewe, kwani we ulijuaje kuwa majambazi walimpiga risasai baada kuhisi kuwa raia huyo anaenda kujipanga, we ulikuwepo kwani!
  11. mr brocken

    AJALI: Basi la KIDIA ONE latumbukia mtaroni Mwanza

    Inaonyesha gari iliteleza kidogo na kulala, na hii inasababishwa na wakandarasi wa barabara zetu kuziinua sana barabara na kuweka slope kali pembeni
  12. mr brocken

    Degree ya Zembwela

    Bado wabongo tuna tabia ya kuthamini vitu vya nje na kudharau vya kwetu, huyu Ze mbwela ni mtangazaji mahiri ambae anaweza kushika hisia za wasikilizaji wake kwenye vipindi vyake, na nataka niwaambie kuwa hiyo kazi anayoifanya alipitia vigezo vyote vya utangazaji na ndio maana yuko pale, na...
  13. mr brocken

    Kwanini mji wa Moshi (Kilimanjaro) haubadiliki miaka nenda rudi?

    Mi naweza kukubaliana na mleta mada kwa sababu kadhaa ingawa sijafika moshi, miji mingi ambayo haibadiliki huwa na tabaia ya kukimbiwa na wenyeji na hili halina ubishi kwa sababu wachaga wengi wameukimbia mji huu na wako kwenye miji mingine, na huko waliko ni maarufu kwa kujenga magorofa, hotel...
  14. mr brocken

    Sakata la nauli za vivuko: Magufuli asema asiye na nauli Sh. 200 apige mbizi

    Uongozi ni busara, hekima na nguvu
  15. mr brocken

    Lori la mafuta limedondoka Kibaha, raia wanagombania kuchota mafuta

    Nawaombea kwa mungu, wamalize zoezi hilo bila mlipuko kutokea
  16. mr brocken

    Futuhi mmechemsha kwa hili

    Wahenga walisema, tutasikia na kuona mengi sana kipindi hiki cha uchaguzi, Yangu macho na masikio
  17. mr brocken

    Viazi wananunua Kariakoo, Wanatumia Manjis gas, halafu wanaviita "French Fries"!

    Isiwe shida nawewe tengeneza aina ya chakula au kitafunwa kitamu, chenye kupendwa na watu wote then kitangaze kwa jina lako,
Back
Top Bottom