Search results

  1. Aquinas

    Nataka kununua simu aina ya apple

    Samsung ni user friend n uzuri wake u can download any program kwenye play store yake na ikakubali tofauti na Iphone kuna programme zake inabidi ununue
  2. Aquinas

    Nataka kununua simu aina ya apple

    Hata mm i real appreciate samsung ni noma kwa swala kama la pict wana 16mp kwa simu zao kuanzi S5,S6 na note 4
  3. Aquinas

    Shilole aamua kuonyesha minyonyo Ubelgiji

    Alitaka kuwa kama kim kardashian,beyonce,kina rihana,amber rose nawengineo celebrates wa mbele
  4. Aquinas

    Dr. Kimei wa CRDB: Kuporomoka kwa shilingi kuna faida kubwa kwa Watanzania

    90% ya bidhaa tuna import as we had lack of industries
  5. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Hapo nimekusomaa mkuu
  6. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Kunaa jamaa yangu anayo q5 but apps za android zinazumbua sana ku download hata jamii forum kashindwa download,nami nilishakuwa na z10 ilinisumbua sana
  7. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Hapo sijakusoma mkuu
  8. Aquinas

    Brackberry Q10 Vs Brackberry Z10

    Z10 but tatizo la blackbery inakataa apps nyingi za android
  9. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Taaluma mkuu n discipline
  10. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Hiyo faraja na st patric nitazicheki
  11. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Asante mkuu victor
  12. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Result yake number mbili
  13. Aquinas

    Shule gani nzuri kwa A level girls

    Morning wana JF naomba mnisaidie shule gani nzuri ya wasichana yenye mchepuo combination ya ECA kwani nina mdogo wangu kamaliza form four nataka kujua ana GPA 1.7
  14. Aquinas

    Mengi na Kylin katika ubora wake

    Naombeni no# ya k lyin jamani niwe namsaidia kibabu kukaza vizuri huyo mtoto
  15. Aquinas

    Kuliko kuwa na mpenzi, ni bora ninunue changudoa

    100% unaweza kuwa na msichana anakuita baby baby kumbe haupo mwenyewe mpo hata ten sasa huyo na yule ya barabarani wanatofauti gani au wale kila cku samaki samaki,element wantash na hi spirit anajifanya eti anapenda tu out nakujifanya anatoka kwa pesa yake kidume tokea nunua savanah anaanza...
  16. Aquinas

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Alikuwa mchapa kazi, shujaa but najua ccm mnafikiria tu kuchumia tumbo sifikiri angeliendelea kuwa waziri mkuu kama Nchi ingekuwa ya mafisadi kiasi hiki.
  17. Aquinas

    Tunamkumbuka Edward Sokoine - Mtu wa Watu

    Kila mwaka april 12 ndio kumbukumbu ya kifo cha waziri mkuu miaka ya 1981 to 1983 na 1983 to 1984 umauti ulipomkuta lakina cha kishangaza siki hii haipewi kipaumbele kama kwa viongozi wengine waliotangulia mbele ya haki kama ilivyo Karume Day, Nyerere Day na nyingine, tunaomba serikali ya CCM...
  18. Aquinas

    Kajala: Natamani kumlipa Wema Sepetu mil 13 zake

    Tatizo sio kuwa na pesa alipokutoa wema inabidi umshukuru sana pesa sio kitu but ubinadamu aliofanya kwa ile siku sio wema ungeenda jela hiyo kiburi ya pesa leo ungepata wapi na kumchukulia bwana ungekuwa na uwezo ungeambia familia waende bank watoe hiyo 13m wakutoe
Back
Top Bottom