Search results

  1. pumzihaiuzwi

    Kuchangia maendeleo ya kiuchumi Serikali za Mitaa kupitia makazi

    Kutokana na wimbi kubwa sana la watu kulalamikia madalali na ubabaishaji wa madalali katika upangishaji wa nyumba za kuishi na za biashara. Malalamiko mengi nime ya kusanya kwa wakereketwa sehemu mbalimbali ambao wana lalamika kutokana na ubabaishaji wa hawa watu anaweza kuwa hana nyumba zinazo...
  2. pumzihaiuzwi

    Sintofahamu ya Sukari

    Sukari imeadimika, sukari imekua adimu, sukari zimefungiwa kusiko julikana je ni ukaidi wa bei elekezi au nikweli viwandani production imepungua. Wajuzi wa mambo mtujulishe wapi machimbo tunaweza kupata bidhaa hii iliyo adimika ghafla.
  3. pumzihaiuzwi

    Mizani ile mikubwa ya chuma inapatikana wapi?

    Salaam zenu jukwaa la biashara kwa wataalamu hivi mizani ile mikubwa ya chuma ya kupimia bidhaa mfano mchele kg 200 na kadhalika inapatikana wapi na je second hand au dukani ile ya mwingereza bei zake, pia na ya rafikizetu wa china na bei zake wapi hasa maeneo zinapo uzwa.
  4. pumzihaiuzwi

    Pesa imekauka kwaresma

    Wanazengo pesa imeyeyuka? Najiuliza funga hii mbona imekua ya kimya sana zile shamra shamra za wasanii, na makampuni mbalimbali nchini za kufuturisha na kutoa vyakula sehemu mbali mbali, za vituo vya yatima na wagonjwa na wasiojiweza mbona mfungo huu wa kwaresma umekua kimya sana wako wapi...
  5. pumzihaiuzwi

    Doctor manuwar kaguta

    habari wakuu Msaada wa haraka unahitajika huyu doctor nasikia ana patikana aghakhan je kuna hospital nyingine nanaweza kumpata? Pale gharama zao kubwa sana kwa sisi wa hari za kawaida. Natanguliza shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. pumzihaiuzwi

    Utapeli unaofanyika kupitia mtandao wa kampuni ya Halotel Tanzania

    Kwenu halotel Tanzania naomba mtusaidie kukamata watu hawa matapeli waliotumia mtandao wenu kutapeli watanzania wanajiita MKOMBOZI ASSOCIATION PLATFORM FORM GEITA naamini kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano Tanzania na polisi mtawakamata majambazi hawa pia wasajili wa makampuni tunaomba...
  7. pumzihaiuzwi

    Diamond Platnumz uwe na utu!

    Macho yote ya familia ya zarina hassan mzazi mwenzie diamond pamoja na wana familia wote kutoka sehemu mbali mbali wanazo ishi wamekusanyika kumjulia hali mama yao anaye sumbuliwa na maradhi ya moyo kutokana na kua mgonjwa mahututi mana yupo under intensive care unit (ICU) Chakushangaza wewe...
  8. pumzihaiuzwi

    Povu la Jokate

    Wasallam wanajukwaa, Katika pita pita zangu za mitandaoni nimekutana na messages hizi za mlimbwende jokate za kunyapia nyapia zinasema eti ni dongo kwa manager wa mpenzi wake kuonekana ku manage mpaka dushe wajuzi tililikeni hapa.
  9. pumzihaiuzwi

    Kero: Capital television kwanini mnarudia tamthilia vipande vya nyuma?

    Kwa wale wapenzi watazamaji wa tamthilia ya ROAD TO DESTINY kutoka capital wengi wetu haswa mimi mkereketwa nilieandika leo, hamjawa waungwana imekuaje mnarudia tamthilia vipande vya nyuma kabisa wakati ilitakiwa tuangalie episode ya mbele baada ya Luis Montero kufungwa kwa ku attempt muder over...
  10. pumzihaiuzwi

    Diamond soma alama za nyakati mapema

    Wana jamvi salaam, Kwako mpendwa msanii wa kimataifa ambaye tunajivunia kutolewa kimasomaso katika kila unacho gusa iwe tunzo na uwakilishi wako pande zote za ulimwengu. Diamond adui yako mkubwa wa kukushusha carrier yako kamwe hatakua alikiba wala msanii yoyote yule kwasababu ulipofikia ni...
  11. pumzihaiuzwi

    Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

    Nguli wa vichekesho kupitia luninga nchini, Masanja Mkandamizaji hatimae kapata jiko. Nakupongeza sana kijana umeonyesha mfano mkubwa kwa sababu wanasanaa wengi hili jambo kwao ni ndoto kubwa. Hongera kwa hatua nzuri Mungu abariki ndoa yako.
  12. pumzihaiuzwi

    Nyota ya Diamond Platnumz ya mkuna nguli huyu!

    Muimbaji Bi. Shakira Said Hamis nguli wa nyimbo za taarabu asilia, ameleza kinaga ubaga mapenzi yake makubwa kwamba anatamani kufanya zingzong na diamond, Bi. shakira hakuishia hapo baada ya kuulizwa swali ni msanii yupi angependa kufanya nae kazi alizidi kusisitiza kwamba diamond ndie...
Back
Top Bottom