pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,081
Kwa wale wapenzi watazamaji wa tamthilia ya ROAD TO DESTINY kutoka capital wengi wetu haswa mimi mkereketwa nilieandika leo, hamjawa waungwana imekuaje mnarudia tamthilia vipande vya nyuma kabisa wakati ilitakiwa tuangalie episode ya mbele baada ya Luis Montero kufungwa kwa ku attempt muder over Carlos tumeshangaa tumerudishwa nyuma kabisa kipande cha Jumanne tabia hiyo ni mbaya kabisa.
Basi hata mngetangaza kama mtarudia hakuna yani na sikukuu yote hii nimewahi kurudi nyumbani iliniburudike nakuta marudio, halafu hiyo tabia imekua sugu wakati mwingine hamuonyeshi kabisa mnaamua tu kukatisha kipindi bila taarifa mnatukera mno.
Tafadhali muhusika wa vipindi usituvuruge, kesho tunataka muendelezo sio marudio.
Over! Nawakilisha kwa hasira kali