Search results

  1. I

    Uhamisho wa watumishi utaanza lini?

    Habari wadau, Niende moja kwa moja kwenye mada, Sikukuu ya May Mosi ilitangazwa kuwa stahiki zote zimefunguliwa ikiwemo kupanda madaraja, uhamisho n.k. Lakini ukiwasiliana na TAMISEMI wanakwambia bado hawajaruhusiwa kutoa uhamisho na vibali. Swali je tamko la Mei Mosi halikuwa rasmi...
  2. I

    Mvua kubwa yanyesha Handeni mjini usiku huu

    Naandika Saizi Mimi Iringa One, Ahsante Mungu Kwa Mibaraka Ya Mvua.
  3. I

    Hii ndoto ina maana gani?

    Habari Jf , Naomba Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada, Mimi Ni Mwanaume Wa Miaka 36 Ambaye Nimesoma Mpaka Ngazi Ya Kati, Historia Ya Elimu Ni Kuwa Kidato Cha 2 Hadi 4 Nilikosa Ada Hivyo Kupata Adha Nyingi Sana, Ikiwemo Kurudishwa Nyumbani Na Kupigwa Viboko Kwa Miaka Yote Hiyo Pale Ninapoenda...
  4. I

    Afisa Kilimo ii kubadilishana kituo

    Afisa kilimo , njoo wilaya ya handeni nije wilaya za kilolo, iringa vijijin au hata iringa mjin. nifikie kwa +255753235211
Back
Top Bottom