IRINGA ONE
Senior Member
- Mar 19, 2015
- 139
- 96
Naandika Saizi Mimi Iringa One, Ahsante Mungu Kwa Mibaraka Ya Mvua.
Mhh bwana yule katika tu mvua kila sehemu,dar usiku imepiga vua hilo balaa,huyo mungu alokuwa anaomba mumuombee mhh ......alidhani mungu wa kweli hamuoni?Ukawa waomba njaa roho zinawasuta,ahahaha
Kwa kweli maana mvua imeshashusha chakula tayari. Kila mwananchi anacho chakula kilicholetwa na mvua ya leo usiku.Subiri wale jamaa ambao kampeni zao zilikuwa ni njaaaa. Tutawaona watabadilisha wapi hizo siasa zao. Eee Mungu ibariki handeni na wajalie wanainchi wake wafanye kaziii kwa bidiii
Mvua ikinyesha tu, njaa kwisha. Wakulima watalima na kuvuna withini a dayUkawa waomba njaa roho zinawasuta,ahahaha