Search results

  1. datshizo

    Wanafunzi kumi bora kitaifa kwenye matokeo ya kidato cha nne 2019

    Hivi mtoto anayepata Div I ya 7 shule ya kata tunamuweka kundi gani Tujaribu kuapreciate hata hawa watoto wa shule za kata wanaofanya vizuri Kuna shule inaitwa Igaganulwa ipo Simiyu shule ya kata dogo kapata DIV I ya point 7
  2. datshizo

    UDOM siwaelewi

    niambie jinsi ya ku-confirm IFM mdogo wangu kachaguliwa hapo ana multiple selection na udom
  3. datshizo

    Kwa wale waliosoma SUA na Wanaosoma SUA

    Unaweza kuhama ila ufanye haraka kabla ya mambo kuanza usirudie kuomba kozi ambayo huna mpango nayo
  4. datshizo

    Uongo Wikipedia kuhusu Dini Tanzania

    Mbona mi naona takwimu ziko sawa Tanzania tuna mikoa mingi Fanya tafiti zako mikoa ya tofauti na huku pwani Utagundua takwimu hizo ni za kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  5. datshizo

    Muda wangu wa kuoa sasa umefika

    All the best mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. datshizo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bahati sio yako mkuu Ndio maana hujashinda Kuumia wakati kashinda mwenzio ni roho mbaya mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. datshizo

    Simba yapigwa bao 7 Afrika Kusini

    Mbona timu huko ulaya zinapigwa 26 cha ajabu nn Sent using Jamii Forums mobile app
  8. datshizo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa perfect 12 na jackpot Ingia hapa Jackpot & perfect 12
  9. datshizo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tennis tips Halep S Pavlyuchenkova A Wozniacki Radwanska A Isner J Rublev A All to win Dont ignore
  10. datshizo

    Jackpot:M-bet Perfect12 Special Thread

    Jackpot & perfect 12 Ingia hapo tuunganishe nguvu
  11. datshizo

    Jackpot:M-bet Perfect12 Special Thread

    Sure man
  12. datshizo

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu tukutane Follow this link to join my WhatsApp group: Jackpot & perfect 12 Kujadili perfect 12 na jackpot
  13. datshizo

    Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

    Kuna mwingne anadeviate msg za mchepuko huwezi ziona
  14. datshizo

    Simu ya mwenza wako ya nini? Unajipa presha bure

    Hili suala ni tatizo kubwa Mi mtu wangu ni miezi mitatu kanipotezea sababu ya Simu Masikini huyo mdada hata sikuwa na uhusiano nae lakini mwenzangu kaichukulia kivingine
Back
Top Bottom