Search results

  1. nG'aMBu

    Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Kabisa hakuna kitu kinashindikana, ANC wanawaendekeza tu, waunde task force uone km hapajatulia
  2. nG'aMBu

    Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Viongozi wao wanawaendekeza, wafanye km El Salvador, nchi ilikuwa hatari duniani sasa hivi mambo yamwkuwa poa
  3. nG'aMBu

    Amepatwa na ukichaa, inasemekana ana UKIMWI

    Yap inatokea yupo mtu wa karibu na mimi, alianza ukichaa, wanasema ana majini lakini nilipinga apelekwe hospitali kweli kakutwa na miwaya, wanamkaba aanze kutumia dozi
  4. nG'aMBu

    Hakuna kitu kinaleta Stress kama kuota Mvi au upara halafu bado hujajipata

    mm nina mvi hata 40 bado sijafika ila nipo proud na hili, wala siwazi
  5. nG'aMBu

    Acheni kujichubua

    kabisa kuna kiharufu fulani cha kiwaki kinoma
  6. nG'aMBu

    Nimefika Newala salama

    karibu na hospitali, daaaah na ukikosa msosi hapo usiku ulala na nenge
  7. nG'aMBu

    Ni mkoa gani umeshawahi kufika na hautamani kurudi tena?

    Lindi,Dodoma,Singida,Zanzibar,Pemba na Arusha kidoogo
  8. nG'aMBu

    Muda unakimbia, hii ndiyo AZANIA sekondari katika baadhi ya picha

    umemaliza na Joseph Nyange, cecil siafu, daud chale[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. nG'aMBu

    Nina degree ya IT, natafuta kazi yoyote nipo DSM

    kabisa ujuzi unanibeba kuliko hata degree
  10. nG'aMBu

    Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

    kuna mtaa niliishi muda sana kabla ya kuama, nimeenda juzi madogo nikawanunulia K Vant, wakamuulize muuzaji hii ya hapo nyuma au yenyewe OG, akaambiwa OG baadae nawauliza wanasema kuna kiwanda nyuma hapo tena ndani ya nyumba wanavyatua tu gongo watu wanasema K Vant, duuuh nilichoka
  11. nG'aMBu

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Ndugu wa huyu dogo na ukaribu na PM ndio maana ngoma mbichi vinginevyo ilikuwa kwishnei
  12. nG'aMBu

    Machimbo ya totoz mikoani Kwa mnaosafiri leo.....

    Kwalipaja siku hizi hamna ishu, ukitaka nenda shooters bar hauwez kosa wa kuambukiza nae gono sugu
  13. nG'aMBu

    Machimbo ya totoz mikoani Kwa mnaosafiri leo.....

    Hata mm nimeshangaa Arusha is overrated hakuna kitu, mademu ndio wepesi mpk kero ishu uwe na njuruka tu
  14. nG'aMBu

    Uliambiwa nini ukiwa Mtoto lakini baada ya kukua ukagundua ni Uongo?

    Ukichagua upinzani, nchi itakuwa na vita
  15. nG'aMBu

    Mjumbe wa kamati tendaji Yanga awatakia kila la Kheri Al Ahly

    Sasa kama yeye ni shabiki la AL ahly je?
Back
Top Bottom