Search results

  1. Lonestriker

    Kinda Mtanzania anayeichezea timu ya taifa ya Ureno U17 mwenye ndoto za kumrithi Ronaldo

    Anaipenda Tanzania kwa kuwa amezaliwa Tanzania na wazazi watanzania wanaoishi Tanzania mpaka sasa lakini kwa kuwa Ureno wamemuamini sana na kumpa nafasi ya kuichezea timu yao ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 basi hilo ndilo Taifa analotaka kuendelea kulichezea. Wazazi wake ambao...
  2. Lonestriker

    Mnavundika! Kwani hilo embe?

    Wakati fulani nikiwa mdogo baba yangu alirudi nyumbani na suruali nzuri sana ya dangrizi kama zawadi yangu katika sherehe yangu ya kuzaliwa zaidi ya miezi miwili mbele. Marufuku ilitoka nisijaribu kuivaa kwa namna yoyote ile kabla ya siku lengwa kuwadia. Yalikuwa mateso makubwa ya Kisaikolojia...
  3. Lonestriker

    Mkwasa, wote wataelewa tu, lugha yako ni rahisi

    Kufanikiwa kwenye mchezo maalum mara zote ni kitu cha kufurahisha na kuhamasisha, kufanikiwa kwenye michezo miwili ni kitu cha kipekee zaidi. Shauku ya Wanigeria wengi ilikuwa ni juu ya uwepo wa kocha wao Sunday Oliseh kutaka kufahamu ataanza vipi kibarua chake. Wakati joto kwa upande wao...
  4. Lonestriker

    Dar Derby: Who will triumph, Simba or Yanga?

    Dar derby: Who will triumph, Yanga or Simba? On Sunday afternoon Dar will come to a standstill when sworn enemies Simba and Young Africans cross swords in the latest instalment of the Dar Derby in a Vodacom Premier League match at the National Stadium. While the focus of the Dar Derby will...
  5. Lonestriker

    Kapombe Transfer Saga

    Taifa Stars' defender, Shomari Kapombe transfer is sure to go down as one of the most controversial dealings for many past and future seasons. His overseas trials and eventual transfer to France fourth division side, AS Cannes was shrouded in more mysteries than the Bermuda Triangle. After one...
  6. Lonestriker

    Azam edge closer to their first league title

    Goals by Mcha Khamis and the back in form, John Bocco secured a 2-1 win for Azam over Simba in a Vodacom Premier League match at National Stadium on Sunday afternoon. The victory stretched Azam's unbeaten run to 23 matches and extended their point-lead at the top to seven points thanks to Yanga...
  7. Lonestriker

    Yanga shift focus on title race

    Vodacom Premier League defending Champions,Yanga will look to bounce back against hosts Mtibwa Sugar on Saturday afternoon as they resume their league title quest after being bundled out of the CAF Champions League by Al Ahly. With one game in hand, Yanga are placed third on the log...
  8. Lonestriker

    The Reason Why The Yanga v Al Ahly Game was not Televised Live

    On Saturday, Yanga stunned Al Ahly in the CAF Champions League. Unfortunately and to the dismay of millions of fans in Tanzania and Africa the match was not televised. MGB, the agency that had an agreement with Yanga to ensure the match would be aired in the Middle East and North Africa...
  9. Lonestriker

    Yanga V Al Ahly: Can Yanga Upset the Egyptian Giants?

    It is here at long last. Al Ahly are already in town. For Yanga fans, it is a deja vu moment as they get to play their North African tormentors yet again like 2009 when they met at the same stage. Fate, yet again, has either handed Yanga a chance to re-write the script by defeating the...
  10. Lonestriker

    Hadhi ya Ernie Brandts, Shoka la Manji na Sarakasi zetu

    HADHI YA ERNIE BRANDTS , SHOKA LA MANJI NA SARAKASI ZA SOKA LETU Hatimaye na kocha Ernie Brandts naye ameonekana hafai, mzigo kwa klabu kubwa nchini. Kama ilivyo wengi waliomtangulia naye ameonekana uwezo wake umefikia kikomo. Mbinu zake zimewakinai wale walioahidi ujenzi wa uwanja kuanza...
  11. Lonestriker

    Tanzania V Zambia: Poulsen Abandons Cautious Approach to Salvage A Draw

    While CECAFA Senior challenge Cup should be treated as a tournament for testing players and experimenting, Poulsen thinks otherwise. The bulky of his squad selection are familiar faces. Against Zambia he took no chance especially in the first half. Perhaps according Zambia too much respect...
  12. Lonestriker

    CECAFA Challenge Cup : Poulsen's Kilimanjaro call- ups

    Kim Poulsen called up a 23-man squad for the CECAFA Senior challenge cup campaign that kicks off yesterday in Nairobi, Kenya. He will have the unenviable task of culling up his squad. Three players will have to be dropped from the official squad list. CECAFA rules allow a maximum squad of 20...
  13. Lonestriker

    Tanzania v Zimbabwe: Mwinyi Kazimoto Serves A Timely Reminder

    Taifa Stars coach, Kim Poulsen had the good fortune of drawing the experience and expertise of his five foreign based players, Kazimoto, Ulimwengu, Samatta, Kapombeand Mapunda in the Tuesday draw with Zimbabwe’s Warrior.Ulimwengu and Samatta have become the bedrock of Stars’s attacking...
  14. Lonestriker

    Ni Wakati Wa Jeshi Kusema Yatosha Kwa Vipigo...

    Mashabiki wa Mbeya City waliamua kubeba jeneza na kulizungusha uwanjani kama ishara ya kuizika rasmi Tanzania Prisons baada ya kuiangushia kipigo cha mabao mawili kwa sifuri. Mpira ni burudani, na hii ilikuwa mojawapo ya burudani za mashabiki wa Mbeya City. Lakini ukiangalia kwa undani unaona...
  15. Lonestriker

    Nyerere's Sporting Legacy Unrivalled

    It may seem unfair to other leaders who have had a more passionate love for sports but Nyerere’s shoes remain too big fourteen years after his demise and over twenty five years after he stepped down from the presidency. A quick check on Tanzanian sports’ annals would reveal that the nation...
  16. Lonestriker

    The Ironic Case of Kigoma Football Doldrums

    Amri Kiemba, Kigoma 'Diaspora' and Talent Export Kigoma region has not had a club a premier league club for close to 11 years. Mbanga was the last club from the region to grace the Tanzania Premier league way back in 2002. Mbanga enjoyed premier league...
  17. Lonestriker

    Upofu Wa Simba na Yanga, Ufanisi uwanjani na Vigezo vya Tuzo za Wanasoka Bora Tanzania

    Japo tunahitaji kuwatuza wanamichezo wetu wanapofanya vizuri lakini bado sharti tuzo ziendane na vigezo stahili. Vigezo stahili ni vile vinavyo zingatia uwezo uwanjani, hatuhitaji vitu vya nje ya uwanja kuwa chachu ya kuwatuza wanamichezo Tanzania. Kwa nini tunashindwa kujifunza kwa...
  18. Lonestriker

    Mwinyi Kazimoto na Maswali ya Ubora wa Ligi ya Qatar yenye timu Sita tu

    Kazimoto ndani ya Jezi ya Al Markhiya Licha ya kuwa wanasoka wa Tanzania wamekuwa wazito kuvuka mipaka kucheza soka la kulipwa, hali ni tofauti unapoongelea Uarabuni. Ni kweli kuwa milango ya kucheza soka la kulipwa bado ni migumu kufunguka jambo lilojidhibitisha kwa mara nyingine msimu huu...
  19. Lonestriker

    Azam Victory Over Yanga Vindicated Stewart Hall's Faith in Youngsters

    Stewart Hall (R) with Club Chairman, Said Bakhressa On Sunday, Stewart Hall cruelly put to an end Yanga's four consecutive victories against his side with a late killer blow delivered by second half substitute, league debutant and U-20 youngster Joseph Kimwaga. In a match neither side...
  20. Lonestriker

    Minziro and Julio Kihwelo; Will They Ever Shake off The Number Two Tag?

    ‘If you are first you are first. If you are second you are nothing.’ Billy Shankly, Liverpool legend First is first, second is nothing. Perhaps that is very harsh but in football the number two tag sucks and is very hard to shake off. When the legendary scot, Sir Alex Fergusson retired...
Back
Top Bottom