Search results

  1. D

    Serikali yakabidhi DAWASA mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe

    Na Mwandishi wetu Serikali kupitia Wizara ya Maji imeikabidhi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mradi wa kusambaza maji kwa wakazi wa Wilaya ya Mwanga Same na Korogwe kwa ajili ya kuuendesha. Serikali imefikia uamuzi wa kukabidhi mradi huo wa maji wenye jumla ya...
  2. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Ndio Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    Mawasiliano rasmi ya DAWASA

    Fahamu mawasiliano rasmi ya Mikoa ya kihuduma Dawasa itakayosaidia urahisi wa kupokea na kushughulikia changamoto za huduma ya Maji kwa Jiji la Dar es salaam na Pwani. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mawasiliano rasmi ya simu katika Mikoa ya kihuduma Dawasa . Wasiliana nasi kupitia mfumo rasmi wa mawasiliano huu ili uweze kuhudumiwa kwa uhakika zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    0737 730523 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Fika ofisi ya dawasa iliyo karibu ukiwa na. Koi ya kitambulisho chako cha ama kura, Nida. Passport size mbili, barua ya utambulisho kutoka serikali ya mtaa na barua ya kuomba huduma Sent using Jamii Forums mobile app
  7. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Tufahamishe zaidi juu ya tatizo lako Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    Taarifa ya kuzimwa kwa Mtambo wa Maji wa Ruvu juu kutokana na hitilafu ya umeme

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU 17/06/2019 Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA), inasikitika kuwatangazia wateja wake wanaopata maji kutoka mtambo wa Ruvu Juu kuwa, uzalishaji maji katika mtambo huo umesitishwa kwa muda hivyo kupelekea...
  9. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    MATENGENEZO MTAMBO WA RUVU JUU LEO (17.06.2019) KUTOKANA NA HITILAFU YA UMEME
  10. D

    Lipa bili yako ya maji leo kuepuka usumbufu

    Upo eneo gani ili tuweze kuwatuma wataalamu wetu kwa uchunguzi zaidi
  11. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Utaratibu unaotakiwa kufuatwa ni mmiliki wa nyumba kuomba extra meter ambayo itajumuishwa kwenye mita kuu yake na ndio atakuwa anapokea bili zote extra alizoomba kupitia bili kuu yake
  12. D

    Lipa bili yako ya maji leo kuepuka usumbufu

    LIPA BILI YAKO YA MAJI LEO KUEPUKA USUMBUFU
  13. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Taarifa zote za DAWASA sasa kiganjani mwako..piga *152*00# sasa
  14. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Mradi bado haujakamilika..tukimaliza tutaanza kuwafungia huduma ya maji
  15. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Sawa tupatie mawasiliano yako na account namba mafundi wetu watafika hapo haraka
  16. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Tumelipokea na tunaahidi kuwaelimisha zaidi ili tatizo lisijitokeze tena
  17. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Pole sana za bingwa..tupatie maelezo yako binafsi yaan kituo ulichoomba,fomu namba pamoja na namba yako ya simu kwenye mesage nasi tutaufanyia kazi
  18. D

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Jitihada zinaendelea kuhakikisha mawasiliano yanakuwepo kabla wajenzi wa barabara hawajaanza kazi ili tuwajulishe maeneo yenye miundombinu yetu kuepusha usumbufu usio wa lazima
Back
Top Bottom