Search results

  1. Mhdiwani

    Naleta wateja kwenye biashara yako/company, unanipa commission

    Ok vzr hapo kuna uwezekano mkubwa wa kupata msaada
  2. Mhdiwani

    Miche ya strawberry

    2000
  3. Mhdiwani

    Miche ya strawberry

    Habari wadau wa kilimo ufugaji na uvuvi Kama Kuna mdau anahitaji Miche ya strawberry tunayo ipo aina ya Chandler Tupo Arusha 0683505822
  4. Mhdiwani

    Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Huyo dogo naskia alikua swahiba sana Boby
  5. Mhdiwani

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Putin hayupo leo
  6. Mhdiwani

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hao kacobet mamaee kbs [emoji25]
  7. Mhdiwani

    Jezi ya Yanga ni 'NZITO'

    Mi nilichomuelewa mtoa mada kamaanisha jezi ya njano yenye michoro mingi Lkn pia naona Yanga hio jezi hawapendelei kuivaa nafkiri Kuna Jambo wamegundua
  8. Mhdiwani

    Ajira bwawa la umeme Tanga

    Ni kweli mkuu ukiwa na fani yoyote unapata ajira kwa siku 30,000
  9. Mhdiwani

    Kilimo Cha strawberry

    Kilimo cha strawberry kinachangamoto Kama umenunua Miche tu na kupanda kabla hujajiridhisha kuhusu aina za mbegu na sifa zake Mi ni mkulima pia na nilinunua mbegu ambazo ndani ya miezi 3 inatoa matunda Na je umepanda mbegu gani? Kuna tristar pajero na Chandler Upo mkoa gani nichek 0657 560542...
  10. Mhdiwani

    Nimepoteza hamu ya kushiriki tendo

    Tafuta black seed oil
  11. Mhdiwani

    Natafuta mbegu ya miche ya mchongoma

    Huku zipo nyingi ngoja niulizie
  12. Mhdiwani

    Nafasi za kazi za muda sensa 2022

    Kupotezeana muda tu bila connection hupati Ishu ya post code ni watoto wa walimu watendaji ndugu jamaa na marafiki Kama vp wapeni pia na nafasi hizi Kule Tanga Jimbo la mkinga sehem inaitwa mavovo wamepeka watoto wao wamevulunda Sana kwenye ishu ya post code
  13. Mhdiwani

    SOLD: Nauza frizer used

    Upo wp mkuu
  14. Mhdiwani

    INAUZWA Miche ya strawberry

    Ishu sio kustawi ishu ni uzaaji Kwa mikoa ya pwani Chandler ndo inafanya vzr kuliko pajero na Trista Kwahio aina hii ya strawberry inazaa kwa mikoa ya pwani
  15. Mhdiwani

    INAUZWA Miche ya strawberry

    Ndio lkn kwa mbegu hii tu ya Chandler Sisi tupo Tanga na kina stawi vizuri tu
  16. Mhdiwani

    INAUZWA Miche ya strawberry

    Tanga
  17. Mhdiwani

    INAUZWA Miche ya strawberry

    Habari poleni na majukumu Tunayo Miche bora ya strawberry aina ya Chandler Ni hybrid ndani ya miezi 3 Inaanza kuzaa matunda Kwa ushauri namna ya kufanya kilimo hiki pia tuchek 0769269630
  18. Mhdiwani

    Msiwe watu wa kupayuka ovyo, kama kuna ufisadi ulifanyika awamu ya tano wekeni ushahidi wazi. Tuambieni namna pesa zilivyokwapuliwa na zilipofichwa

    Kwani ile trillion 1.5 ilikwapuliwa na awamu ile ilikuwaje? Kipindi kile hakukuwa na mwenye uthubutu wa kuweka mambo wazi Kila kitu kitakua wazi
  19. Mhdiwani

    Mambo 10 kuelekea Simba vs Orlando Pirates

    Fact hii mkuu
  20. Mhdiwani

    Kuna ulazima hayo mashindano ya Quran yafanyike Mkapa Stadium? Siku ya mchezo Simba vs Orlando!?

    Msemaji wa Simba aliulizwa Kama ikitokea mtu akigoma kotoka ili aangalie mpira mtafanyaje? Hakuwa na jibu la moja kwa moja akasema wanaweza wakafanya namna ili aangalie mpira tu bure Sasa wanangu wa dar Kama wameskia yale mahojiano hapo wanaingia asbh hii kwenye mashindano ya quiran hlf hawatoki
Back
Top Bottom