Search results

  1. igp

    Said Mecki Sadiki ataja sababu zilizomfanya aandike barua ya kuacha kazi ya ukuu wa Mkoa

    Aliyekuwa Muu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki , amesema ameamua kuondoka serikalini baada ya utumishi wa muda mrefu na anakwenda kupumzika mkoani Mwanza huku akiwa mfugaji wa samaki. Aidha Sadiki alisema pia kulingana na afya yake, anahitaji kupisha vijana wadogo wamsaidie Rais Dk...
  2. igp

    Mzee Benjamin Mkapa avichana Vyombo vya Habari Afrika

    Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mzee Benjamin Mkapa amevikosoa vyombo vya habari barani Afrika na haswa kusini mwa Jangwa la Sahari kwa kile alichosema vingi vimejikita katika kuripoti habari za kisiasa na matukio ya nani kafanya nini au kawa nani, badala ya kuripoti habari za uchumi za...
  3. igp

    Vijana hawana nafasi ndani ya chadema.

    Niwazi na kweli kwamba chadema kama chama cha siasa kimejinasibu kwa mda mrefu kuwa ni chama cha demokrasi lakini undani wake siyo kweli.Yapo mambo mengi ambayo yanaifanya chadema kuwa chama cha kundi flani la watu hasa wazee lakini vijana nafasi yao haipo ndani ya chadema,Vijana wachache...
  4. igp

    kunakijana anaitwa sosopi aligombea unyekiti wa chadema kanda ya nyanda za juu akashindwa na msigwa.

    Huyu kijana tangu ashindwe na msigwa sijamuona tena jf wala fb hii inafanya niwaze kwamba vijana wengi wanapigana kwenye mitandao ya kijamii kwa malengo ya kupata kitu flani lkn siyo uzalendo wa dhati kupigania vyama vyao au taifa.Alikuwa ni kijana shupavu kweli kwenye mitandao kamasikosei ni...
  5. igp

    Nimeamini Rais Magufuli hamuonei mtu kwenye kutumbua

    Kumbukumbu zangu zinanionesha wapo waliotumbuliwa tukalalamika lakini baada ya ukweli ukabainika bayana kuwa hawakuonewa badala yake tumebaini kuwa walitumbuliwa kwaushihi. Mfano Mwele Malecela aliyetangaza kuwa Tanzania imevamiwa na ugonjwa wa zika lakini serikali ikaweka msimamo nakuonesha...
  6. igp

    Mzee Matson Chizii ameanza kuwapotosha CHADEMA, mbinu za kuiba kura zimegoma

    Jana CHADEMA wakiongozwa na Matson Chizii walivamia kiwanda cha MM Steel kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam. Madai ya kufika mahala hapo ni kwa kile wanachodai taarifa walizopata kwamba wafanyakazi wa kiwanda hicho wanaandikishwa kwenye mashine za BVR ili waweze kupiga kura na kuipa ushindi...
  7. igp

    Uanasiasa wa Lowasa ni mashaka matupu.

    Katika hali ya kushangaza katika ukongwe wake katika siasa Lowasa sijawahi kuona akito hotuba ya maana hata moja kwa mda unaozidi hata dakika kumi tu. kwa kiasi kikubwa Lowasa amekuwa mwanasiasa wa kubebwa na pesa sijui kama angekuwa hajaiba pesa za watanzania na kuzifanya zake angebebwa na...
Back
Top Bottom