igp
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 839
- 543
Kumbukumbu zangu zinanionesha wapo waliotumbuliwa tukalalamika lakini baada ya ukweli ukabainika bayana kuwa hawakuonewa badala yake tumebaini kuwa walitumbuliwa kwaushihi.
Mfano Mwele Malecela aliyetangaza kuwa Tanzania imevamiwa na ugonjwa wa zika lakini serikali ikaweka msimamo nakuonesha ukweli kuwa hakuna ugonjwa huo,ambapo sote tumebaini mpaka leo hakuna huo ugonjwa kwahiyo Mwele alipotosha umma na kutia hofu kwa kitu ambacho hakikuwepo ndiyo maana alitumbuliwa.
Pili alitumbuliwa Anna Kilango kwa kudai kuwa Shinyanga haikuwa na watumishi hewa lakini ikaonekana kulikuwa na watumishi hewa wengi sana.Lakini pia ametumbuliwa katibu mkuu nishati kwa kutoa tarifa ambazo siyo sahihi kuhusu mchanga wenye madini unaosafirishwa kwenda mataifa ya kigeni.
Ifike mahala tukubali kuwa JPM hajui kumuonea mtu bali hufuata taratibu zote mpaka anamtumbua mtu.