igp
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 839
- 543
Huyu kijana tangu ashindwe na msigwa sijamuona tena jf wala fb hii inafanya niwaze kwamba vijana wengi wanapigana kwenye mitandao ya kijamii kwa malengo ya kupata kitu flani lkn siyo uzalendo wa dhati kupigania vyama vyao au taifa.Alikuwa ni kijana shupavu kweli kwenye mitandao kamasikosei ni makamu mwenyekiti bavicha taifa anaitwa sosopi anapenda kushika kifipo hv ndiyo swaga yake hiyo,Mwambieni maisha yanaendelea kuteleza siyo kuanguka nakuwaondoa wazee chamani siyo utani ni mtiti kweli ajipange tena.