Search results

  1. Mwalimu Truth

    Ufugaji wa ngamia

    Ahsante ndugu nitajaribu kufuatilia,nashukuru sana.
  2. Mwalimu Truth

    Ufugaji wa ngamia

    Sikufanikiwa kupata mkuu...
  3. Mwalimu Truth

    Natafuta kazi ya muda

    Hello, Habari, Natafuta kazi ambayo ninaweza kuifanya kwa malipo yeyote kadri ambavyo tutakubaliana na muajiri kulingana na ratiba yangu. Umri: Miaka 27 Elimu Diploma ya Ualimu wa Sekondari somo la Baiolojia. Jinsia: Me. Uzoefu: Miaka 3 Mwalimu wa shirika la Compassion kazi ambayo bado...
  4. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Pole kwa changamoto hiyo,mshirikishe daktari wa mifugo kwenye eneo lako kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu zaidi!Ukifanikiwa tupe mrejesho.
  5. Mwalimu Truth

    Ufugaji wa ngamia

    Ahsante kwa ushauri wako
  6. Mwalimu Truth

    Ufugaji wa ngamia

    Ahsante kwa ushauri wako
  7. Mwalimu Truth

    Ufugaji wa ngamia

    Habarini wadau wa JF, nimeamua kuanzisha uzi huu kwasababu nimetafuta data zote kuhusu Ngamia nimekosa. Nataka nifuge Ngamia, mmoja au wawili wananitosha. Je, nina wapata wapi? Bei ya ngamia ambaye bado mdogo ni bei gani? Ngamia mkubwa bei gani? Nizingatie nini wakati wa kumfuga Ngamia? Kwa...
  8. Mwalimu Truth

    Nifanyeje ili kuikinga mifugo yangu dhidi ya mlipuko wa magonjwa?

    Habarini wana Jf. Shamba langu la Mifugo lina Mbuzi, kondoo, kuku, kanga, bata, Mbwa wa kisasa, njiwa na ngombe wawili ambao wanafugwa wakiwa ndani muda wote. Lengo langu ni kuwa na wanyama wa kufugwa aina zote kwenye shamba langu, ili kuepuka magonjwa, wanyama wote wanafugwa pasipo...
  9. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Habari wana Jf.Niliwahi kuwaletea uzi wa ufugaji wa mbuzi wa kienyeji ,namshukuru Mungu nilifanikiwa kuongeza mradi wa Mbuzi shambani kwangu, mdogo mdogo napambana!.Binafsi wanyama ni maisha yangu,nawapenda sana na ndiyo Kigezo cha mimi kujikita kwenye miradi ya ufugaji.Tuachane na hayo! Lengo...
  10. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Habari wana Jf.Nahitaji kufungua Zoo ya Wanyama pori kwa ajiri ya utalii.Nahitaji kuanza na Wanyama wachache kama vile Kobe,nyoka,swala,ndege na nitaongeza wanyama kadri biashara yangu itakavyokuwa ikikuwa.Nahitaji ushauri kutoka kwa yeyote mwenye uzoefu na biashara hii ya Zoo au Bustani ya...
  11. Mwalimu Truth

    Kama una mpango wa kuoa, jifunze hapa

    Nimecheka sana baada ya kuona uzi huu.Hauko kwenye ndoa halafu unasema walioko kwenye ndoa hawana furaha!!That is assumption. Niko kwenye Ndoa,mimi na familia yangu tuna furaha.Nimeridhika na mke wangu,natafuta pesa kwa ajili ya familia yangu,mke wangu nampanulia biashara mbalimbali huku na...
  12. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Nakufata inbox ndugu,Nahitaji namba yako ya WhatsApp kwa ushauri zaidi kuhusu ufugaji wa Mbuzi.
  13. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Ahsante Joka.Nimejifunza kitu kutoka kwako.Ubarikiwe!
  14. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Niko mwisho wa reli Kigoma ndugu yangu...
  15. Mwalimu Truth

    Ufugaji Mbuzi wa kienyeji (Asili) kibiashara

    Ahsante kwa mawazo mazuri sana...
Back
Top Bottom