Search results

  1. G

    Warning: Kwa mnaouza gesi za Oryx na Mihan, wajanja wamerudi mjini

    Receipt siachiii, huo mchezo ni mbaya, takeni receipt kwa usalama wako na fedha yako.
  2. G

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hello Nimefungua chapchap account tangu 21 July 2015 kwenye tawi la Usa River Arusha, mpaka leo tarehe 27 July 2015 sijaweza kupata huduma yoyote kupitiaATM card niliyopewa, siwezi hata kutuma pesa kupitia NMB mobile isipokuwa kuangalia salio tu, siwezi kutuma pesa. Nimefika customer care ya...
  3. G

    Mwanamke aeleza mateso ya Boko Haram

    Mwisho wa mambo yote umekaribia iweni na akili mkeshe kwa maombi na dua....., kila mtu na aabudu Mungu wake kwa uaminifu wote. Mungu yule atakaye simama kutoa hukumu siku ile ya mwisho/kiyama huyo ndiye Mungu wa kweli. Hakuna dini wala imani inayomwabudu Mungu wa kweli inayoruhusu kuua wala...
  4. G

    Faida za Windows phones

    Window phones ndo simu za kijanja,
  5. G

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Uliyetoa hii thread wewe ni mtu wa muhimu sana unafaa kuwa mshauri kwa mambo haya ya uendeshaji wa vyombo vya moto, ni moja kati ya thread zenye akili hapa kwenye jamvi, big up......saluteeeeeeeeeeeee!!!
  6. G

    Kidumu chama chawala

    Vip mtarudi tena huko?, eti kaka Nape, mtarudi tena?
  7. G

    Nani huyu? Enzi za ujana wake

    Mkuu wa nchi ajayee!
  8. G

    Nimepewa Risiti lakini sijazielewa

    Mkuu kaulize huko huko ulikopewa hizo receipt ili wakueleweshe vizuri kwani ni kwa nia njema ya kutaka kufahamu zaidi, vinginevyo hapa tukianza kulijadili hatutapata majibu ambayo ni guinine, otherwise itakuwa ni umbea tunafanya. Nenda kaulize hivi, vipi mmemkosea kunipa hzi receipt mbili ama ni...
  9. G

    David Kafulila kuikwaa tuzo ya Nobel

    Tuvute subira, days will tell but also truth will prove, lakini Kafulila kwa kazi aliyoifanya anastahili kupewa hata zaidi ya hiyo tuzo ya noble. Ni vema kila mpenda haki na maendeleo ya nchi atambue kazi iliyofanywa na huyu kijana kuwa ni ya kishujaa na kizalendo. Sasa hivi angalau kuna adabu...
  10. G

    Samuel Sitta aunda Kamati ya maridhiano ya kuwasikiliza waliopiga kura za HAPANA

    Taarifa iliyotolewa hivi punde na Mwenyekiti wa bunge maalum la katiba Mb Samweli Sitta, ametangaza kamati maalum ili kwenda kuwasikiliza na kuwahoji kwa upya wajumbe wote waliopiga kura ya HAPANA katika kikao cha jana, waseme kwa nini wakapiga kura ya hapana na huku wamehudhuria vikao vyote...
  11. G

    Naelekea Kigoma kikazi, ni tahadhari gani nichukue pindi ntakapokuwa huko?

    Kigoma ndo kwetu, hayo yote waliyokushauri ni uongo mtupu, kigoma ya kipind kile cha nyerere siyo ya kipindi hiki. Kafanye hicho unachoenda kufanya kwa amani, zingatia sheria na kanuni za nchi, lakini pia kuna mila na desturi zetu ziheshimu na kuzifuata pale itakapobidi. Kigoma ni kati ya mikoa...
  12. G

    Hatimaye mume wa Flora Mbasha afikishwa mahakamani

    Mungu hahukumu kama mwanadamu, mwisho wa siku tutajua magugu na mpunga!
  13. G

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Kwa wale pia wanaopenda kujenga Ndoa zao katika misingi bora maana hapa ndipo maisha huanzia na kuimarika zaidi someni kitabu cha GOD's MASTER PLAN FOR MARRIAGE By Stephen & Georgina Adei, Ni kitabu kizuri sana hata kwa wale wanaotarajia kuingia kwenge ndoa. Nakipenda sana coz kimetujenga sana...
  14. G

    Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

    Mi nahitaji kunawiri tu i mean kung'aa kiafya! Nami nifanyeje??
  15. G

    Ukweli wa Kafulila umerudiwa na Warioba kwa mtazamo ule ule.

    Necessity is the mother of changes!
  16. G

    Changamkieni mikopo yenye riba ya kiushindani

    Hao wanaojiita akibasaccos ni matapeli wakubwa wanajiita hivyo na wakati mwingine hujiita social credit company, kuweni makini sana au kama kuna mtu aliyepata mkopo kutoka kwa hawa jamaa atupe shuhuda.
  17. G

    Kabila penda ngono kuliko yote

    Kupenda Ngono sana ni Barabara ya kuelekea kuzimu, kila kitu lazima kiwe na kiasi, kuna mwingine akimwona mwana Ke/Me tu baasi mawazo yake ni kwenye ngono tu, na kwa namna hiyo hawezi hata kujizuia kufanya ngono, kwa lugha ya Kibiblia ni kwamba mtu kama huyo lazima atakua anafanya zinaa kila...
  18. G

    Masoud kipanya...mfano wa kuigwa vijana kizazi kipya!

    Lengo lake ni kuelimisha na kurekebisha fikra za watu wasiotaka kujituma!
Back
Top Bottom