Search results

  1. Majestic wolf

    Mgonjwa mmoja nchini Kenya afanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya "non-invasive treatment for swelling"

    Katika hali isiyo ya kawaida na ya kutisha sana mgonjwa mmoja nchini Kenya afanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya "non-invasive treatment for swelling". Uzembe huu wa ajabu uliofanywa na madaktari bingwa nchini humo umepelekea kusimamishwa kazi kwa wafanyakazi wanne wa hospitali hiyo ya...
  2. Majestic wolf

    Umeshawahi kujamba hadharani?

    Leo nimekumbuka baadhi ya incidents zimenifanya nicheke sanaaaaa baada ya sista duu mmoja kujamba akiwa usingizini tukiwa kwenye foleni ofisi Fulani Nivyonunua kiredio changu mara ya kwanza miaka hio, nikanunua na earphone. Sasa nahisi unafahamu ukivaa earphone sauti za nje husikii hasahasa...
  3. Majestic wolf

    Msaada: Fungus wa kinywaji

    Habari . Naombeni msaada wenu wadau .Ninasumbuliwa na fungus kinywani kwa muda wa mwezi sasa. Nimetumia antifungal kibao ila hali inatulia then wanarudi tena. Vile vile nina kama utepe flani hivi mweupe mdomoni(kama midomo ya mateja) Msaada wenu wadau
  4. Majestic wolf

    Msaada: Jinsi ya ku-access deep web kwa urahisi

    Habari za wakati huu. Nimekuwa nikipata story tu za huko dark/deep web kama kuna mtu yoyote mwenye ujuzi wa kuingia huko naomba anisaidie. Nataka nikashangae tu nothing serious.(nimejaribu ile app ya orion but nimeshindwa nimejaribu na duckduckgo vilevile nimeshindwa) Naamini humu jukwaani kuna...
  5. Majestic wolf

    Why do men lie?

    ◈ To Get Away with Stuff This is the reason why most women lie as well, right? It is often just easier to give a very simple and easy answer, as compared to saying the truth. Often, in saying the truth, confrontation is a given. As such, lying seems like a safer option. ◈ Fiction is More...
Back
Top Bottom