mkuu Urusi siyo taifa la kawaida, wanajisumbua tu hawawezi kupigana na Urusi, wao wananunua silaha, Urusi inatengeneza za kwake yenyewe na inauza nje pia, Kama wameishindwa Israel miaka yote, Urusi ndo wataiweza? wanajitafutia balaa tu.
Mauaji ya albino yameanzia katika utawala wako, hadi sasa wameshauawa zaidi ya 70 na makumi wana vilema vya maisha, nimesisimka sana kusoma post ya wiseboy mwana JF mwenzangu,huyu kijana kwangu mimi tangu nimeanza kusoma post zake ni great thinker,anasema ameukana utanzania maana anahofia hasira...
Mwanadamu ni kiumbe wa ajabu sana kuliko viumbe vyote duniani,mwanadamu ni muoga sana kuliko viumbe wote duniani,mwanadamu huyo huyo akiamua kuwa jasiri, ni jasiri kuliko viumbe vyote duniani, jambo ambalo wengi wetu hatulijui ni kuwa sisi ndo tuna dhamana ya kuamua hatma ya maisha yetu, kwanini...
Ilikuwa Majira ya saa nane alfajiri wakati nilipopigiwa simu na mkuu wangu wa kazi inspekta Haruni Majimoto,ndo Kwanza Usingizi Ulikuwa Umeanza Kunoga wakati mke wangu aliponiamsha,Japhet,Japhet amka mume wangu simu inaita,mke wangu ambaye muda wote alikuwa amenikumbatia alinitikisa kichwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.