Search results

  1. D

    Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    Zitto yanakupata kama yalivyo mpata kaka yako, Dr Amani Kabourou alikisalit chama kwa kutumiwa na ccm. Na kukimbilia huko ccm, lakini hadi Leo hasikiki tena, na alikuwa na cheo cha Makamu mwenyekiti wa CDM, had Leo hasikiki tena kwa sababu ya dhambi ya usalit ilimmaliza nawe zitto dhambi ya...
  2. D

    Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    Ndiyo,kwani ulitaka awe msaliti?
  3. D

    Best Tanzanian university rank 2015

    Udsm mnabebwa na historia na ukongwe lakini product zenu mbovu sana especially za ualimu ni mbovu ,maneno mengi,ubishi mwingi, mnajifanya mnajua vitu lakini Hamna lolote ,msipobadilika field mtakuwa mnafanyia chuo kwenu, maana sa izi kila sehemu hawawataki .
  4. D

    Best Tanzanian university rank 2015

    Udom noma , mwaka kesho inaingia mbili bora .
  5. D

    Best Tanzanian university rank 2015

    Tatizo lako unataka mzumbe,Ifm na Ardhi ziingie tano bora hivyo vyuo havina mikakati mipya.
  6. D

    Best Tanzanian university rank 2015

    Usiangalie historia, hii ripoti ni mpya imetolewa February 2015,tatizo lako unaangalia rekodi ya 2013,nenda ukagoogle ,andika orodha ya vyuo bora Tanzania 2015 utapata majibu baadala ya kulalamika ,vigezo utapata na source utapata.
  7. D

    Best Tanzanian university rank 2015

    Udom miaka michache ijayo kitakuwa ndo chuo bora Tanzania na ulimwenguni. Japo kimepondwa sana miaka ya nyuma Kuwa ni chuo cha kata. Big up sana udom kwa mikakati yenu madhubuti ongezeni juhudi zaidi.
  8. D

    Nimepata vyeti vyangu

    Big up sana
  9. D

    Picha za Freeman Mbowe na Magufuli yazua mjadala

    Kuwa karibu na ccm sio dhambi hata chembe ila kutumiwa na ccm kusaliti(au kuvuruga) chama fulani dhambi kubwa kama kula nyama ya mwanadamu ,hata kama ni vyama vya upinzani .Kinachotakiwa ni sera nzuri, sio kuua vyama vya upinzani au chama chochote .Chama kijiue chenyewe kwa Sera zake mbovu sio...
  10. D

    Picha za Freeman Mbowe na Magufuli yazua mjadala

    Mbona akina Hilary Clinton ,John Mc cain na Obama huwa wanaongea vizuri , Magufuli na Mbowe ndo unashangaa!!!! Duu
  11. D

    Picha za Freeman Mbowe na Magufuli yazua mjadala

    Acha ujinga siasa sio uadui
  12. D

    Prof. Tibaijuka: Nanyanyasika wanawake wenzangu hamnitetei!

    Huyu prof. ana IQ ndogo sana
  13. D

    Series (Special thread)

    Shirika la kazi duniani linasema ,Mzimbabwe mmoja anafanya kazi ya Watanzani wanane na Mkenya mmoja anafanya KAZI ya watu wanne kwa hali hii ya series nimethibitisha ,utapata wapi muda wa kufanya kazi huku unafuatilia series.Watanzania tubadilike jamani tufanye kazi kwa bidii.
  14. D

    Series (Special thread)

    Fanyeni KAZI acheni hizo ,zinawapotezea muda .
  15. D

    Hivi! Halafu mbele ya watoto

    Huyu bibi ananuka sogea mbali
  16. D

    Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

    Walimu wanashida " daresalaam' ,hawa ndo wasomi wa ccm
  17. D

    Mlinzi wa Dk. Slaa ashambuliwa

    Lazima apewe kipigo ili kusudi aseme ukweli
Back
Top Bottom