Search results

  1. M

    Napenda Kuwasikia Makonda na Nape

    Wakuu,salaam Baada ya EL,kuhamia Chadema na UKAWA napenda nisikie maneno ya watu hao waliokuwa wakimtaja kuwa ni fisadi na hadi kufikia kutamka kuwa wataachia ngazi zote walizonazo. Siasa ni upepo,unachokizungumza leo na kukisimamia unaweza kukikana kesho. Ndugu zangu hao,walishaaminishishwa...
  2. M

    Tafsiri ya Maneno ya Hayati Baba wa Taifa

    Habari wanaJF Katika taarifa ya habari ya saa mbili usiku jana kupitia ITV wakati taarifa ya kuhamia Chadema na UKAWA Kwa EL,walianza Kwa kuonyesha kauli aliyoitoa baba wa taifa enzi za uhai wake mwaka 1995 na kusema"Mtu asipoyapata mabadiliko ndani ya CCM basi atayafuata nje ya CCM " Nimekuwa...
  3. M

    Kuhamia wa Lowassa na hatma ya wana UKAWA

    Wakuu habari! Hakika tuna mambo mengi sana ya kuendelea kujifunza kutokana na yale yaliotokea Dodoma kwenye kamati kuu ya CCM iliyopelekea kukwatwa kwa jina la EL na hadi kufikia uamuzi wa kuhamia UKAWA Binafsi,naipenda sana CHADEMA na UKAWA Kwa ujumla wake na ni kutokana na kuonyesha nia ya...
  4. M

    Toyota Coaster Inakodishwa

    Habari wana JF, Tunakodisha gari aina ya Toyota Coaster yenye vitu vifuatavyo; - Inabeba watu 28 - Air Conditioner(AC) - Video - Comfortable seat. Gari inaweza kukodiwa kwa matumizi mbalimbali kama vile sherehe,misiba,kubeba staf na tenda mbalimbali. Kwa mawasiliano zaidi piga...
  5. M

    Nahitaji mwanamke anayejiheshimu tuoane

    Habari Wana Jamii Forums. Kama title inavojieleza ni kuwa mie ni mwanaume mwenye miaka 32 na nahtaji mwanamke wa kuanza naye maisha ya familia(mke na mme). Elimu yangu ni bachelor degree na ni mjasiriamali. Mwananke anatakiwa awe na umri wa kuanzia miaka 22 - 30.Elimu kuanzia form 4 hadi...
  6. M

    Nahitaji Mke haraka

    Mimi Mjasiriamali nahitaji Mke mwenye vigezo vifuatavyo: -Mkristo na hasa awe tayari kufunga ndoa RC -Mfanyakazi na hasa mwalimu. - Hajawahi kuolewa au kuzaa. -Asiwe mwembamba na sio mnene sana. -Umri kati ya miaka 22 hadi 30. - Urefu wa wastani. -Uaminifu ndo mpango mzima...
  7. M

    Nahitaji Business Partners kwenye Kilimo na Ufugaji

    Habari Wanajamii Poleni sana na shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazowakabili. Nina ekari 35 za shamba zilizopo Mlandizi ndani na nategemea kuzitumia kwa ajiri ya kilimo na ufugaji. Nategemea kufuga kuku wa kienyeji na wa kisasa zaidi ya elfu 20 lakini pia ufugaji wa samaki Nategemea...
Back
Top Bottom