Search results

  1. A

    Natafuta wabia wa kujenga kuendesha na kuhamisha (build operate transfer)

    Wadau Habari za jamvini. Nina jengo langu maeneo ya kibaha picha ya ndege ambalo ni mahsusi kwa kupangisha. Nimejaaliwa kuongeza vyumba vitano ambavyo vimekamilika tayari kwa kila kitu isipokuwa Madirisha ya aluminium. Ninamtafuta mdau makini (genuine) ambaye atakuwa tayari kuingia mkataba nami...
  2. A

    Jenga endesha hamisha

    Habari wadau. nina nyumba niliijenga picha ya ndege mwaka 2005 na nikaongezea vyumba mwaka 2014 ila nimekwama kwenye kumalizia madirisha ya aluminium. Nyumba hii ninaipangisha na ninakaribisha wawekezaji makini wamalizie na kupokea sehemu ya kodi kwa miaka kadhaa. napatikana 0621107223
  3. A

    Gia ya Yusuf Manji kuelekea kuwania umeya wa jiji

    Niseme tu kuwa udiwani ataununua na umeya ataununua vilevile lakini nimhakikishie yusuf manji kuwa watanzania tunamuelewa vizuri na hasa siku ya tukio la Dodoma wakati wa mkutano wa halmashauri kuu ya CCM. Tuna uhakika kwa pesa zake atanunua nafasi hizo zote kiulaini lakini sisi ukawa...
  4. A

    Channel ten hii ikoje

    Channel Ten nawasihi sana mnapotangaza taarifa ya habari mtoe fursa sawa kwa vyama vyote kwani imekuwa ni kawaida inapofikia taarifa ya mgombea wa Chadema mnakuja na udhuru kuwa taarifa haijakamilika. ni bahati nzuri leo mmerekebisha kwa kuonyesha mkutano wa mwanza. nawaomba muendelee na hali...
  5. A

    Siku ishirini na moja zijazo

    Kwa wazungu wao wanasema countdown lakini sisi wabongo tunasema zimebaki siku 21 sawa na majuma matatu kufikia tarehe ya maamuzi sahihi ya mabadiliko. shime vijana shime wazee mnaojitambua, shime kina mama wakati ni sasa, tusipofanya sasa kamwe hatutaweza kufanya. ifikapo tarehe hiyo tudamke...
  6. A

    Samwel Sitta na uzushi wa uongo kwa Lembeli na Nape na maneno ya kujipa matumaini

    Jana nilimsikia Samwel Sitta akijaribu kumzushia urongo Lembeli licha ya ukweli kuwa Lembeli alikuwa jembe alipokuwa bungeni . jambo la kushangaza ni kuwa bado akina Sitta na Bulembo wanadhani kuwa wao ndio wenye hatimiliki ya kuongoza Tanzania kwa hiyo wanarithishana majimbo. Sitta hakugombea...
  7. A

    Nauza mabati mapya kabisa saizi 1220mm x 30mm rangi dark green migongo mipana

    Wadau wa ujenzi wanaojenga Kinyerezi na maeneo jirani na wanaopendelea mabati yenye migongo mipana nawaarifu kuwa mimi nilinunua mabati lakini hesabu niliyopewa na fundi ikasababisha mabati yazidi idadi. sasa ninayo mabati yenye urefu ufuatao na bei zake: 1.sm 250 yapo 4 bei ni 37,760.00 x 4 =...
  8. A

    TBC, Star tv na Channel ten mmefanya tathmini ya watazamaji wenu kipindi hiki?

    Nashangazwa sana na vituo hivi vitatu vya luninga kwani wanachokifanya wao wanadhani wanamfanyia kampeni mgombea wa CCM kumbe wanaangusha biashara zao. Biashara za luninga ni matangazo na matangazo ndiyo humwezesha mtu kununua kitu . sasa inapotokea watanzania wanaacha kuangalia vituo hivi...
  9. A

    Ofisi ya Rais itoe tamko juu ya Mawaziri ambao Ubunge wao umekwisha na wanaendelea na Uwaziri

    Kwenu wanajamvi naomba kufahamishwa kama ni sahihi baada ya Bunge kuvunjwa rasmi Mawaziri wanaweza kuendelea na Uwaziri. Ninavyofahamu kwa kuwa Uwaziri wa sasa ni mpaka uwe Mbunge na tayari Bunge limevunjwa hivyo hakuna Mbunge tena, vivyo hivyo hakuna Mawaziri tena. Lakini tunachoshuhudia ni...
  10. A

    Channel ten iko wapi level playfield? Au tayari mna maagizo msirushe mikutano ya wagombea wengine?

    Leo muda huu kwenye taarifa ya habari ya saa moja usiku huu tumeshuhudia kwa upendeleo wa dhahiri kuwa channel ten imerusha kampeni za wagombea wa ccm pamoja na tukio la magufuli kufunga mkutano wa wahandisi. Hii sio utaratibu au maagizo ya tume ya uchaguzi . Ni vizuri kama TCRA na Tume ya taifa...
  11. A

    Wenye mapenzi mema na ukawa shime tutoe msaada wa hali na mali kwa mgombea wetu jimboni mtama ili tu

    Watanzania wapenda mabadiliko wakati ni sasa na ili tunogeshe mabadiliko yetu ni muhimu sana wale woote waliokuwa domokaya tukahakikisha kampeni za kisasa zinafanywa kuwaombea wanyimwe kura kutoka kwa wananchi wa jimbo la mtama. kwa kuwa mitandao ipo, basi tutume ujumbe wa simu wa kuomba kura za...
  12. A

    Viongozi wetu naomba sana mumuandalie mgombea wetu hotuba zinazogusa UKAWA yote

    Wakuu, habari za mchana. Nilitamani kujumuika uwanjani Jangwani leo lakini majukumu mengine yamenifanya nishindwe kufika. Hata hivyo, nitajitahidi kuangalia luningani. Ombi langu kwa wenyeviti wenza wote walioanzisha UKAWA: nawaomba sana muandae hotuba ikianza na salamu za vyama vyote...
  13. A

    Wapenda mabadiliko tuwang'oe hawa vizabizabina

    Kwenu wote wapenda mabadiliko na mlio na shahada za kupigia kura. Hasa hasa watu wa jimbo la Mtama, nawaasa kwamba huu ndio wakati wa kumwonyesha Nape kuwa na yeye ana tamaa ya madaraka . Kwa umoja wa wapiga kura wa jimbo la Mtama ifikapo tarehe 25 Oktoba 2015 wote muende vituoni na muwapigie...
  14. A

    Makatibu wakuu CUF na CHADEMA wachukulieni hatua za kuwavua uanachama watu hawa wawili

    Nimeshtushwa na kusononeshwa sana na kitendo walichofanya watia nia wawili mmoja wa CUF na mwingine wa CDM kwa kukubali upuuzi wa CCM wa kuwahonga wasirejeshe fomu kwa wakati ili CCM wapate ushindi wa mezani. Na Tayari Abdallah Dadi Chikota ni mbunge wa mezani huko mikoa ya kusini kisa tu waroho...
  15. A

    Mauzo ya vitu

    Wana JF napenda kuwatangazia kwa yeyote aliye mhitaji wa vitu vifuatavyo. ninanvyo na ninaviuza "on as is where is basis" 1. Vipande vya mbao pamoja na vipande vya mirunda . vimebaki na vingine kufumuliwa kutoka kwenye jamvi la orofa. mbao hizi na vipande vya mirunda vinajaza tipper ya tani 7 ...
Back
Top Bottom