Search results

  1. K

    Kesi hii nayo itakwisha Disemba? - Wageni na mchezo wa dhuluma

    Kuna kipindi niliwahi kudodosa kuhusu namna ambavyo, makampuni ambayo serikali ina hisa za kutosha, yanavyoongozwa na wageni vilaza, wanaofanya watakavyo. Hapa nimekuja kukumbushia jambo ambalo liliumiza baadhi ya watanzania wenzetu, shirika la saruji Mbeya, ambapo baadhi walilazimika kuacha...
  2. K

    TTCL na Kompyuta zilizokufa ghafla

    Kuna nyakati mtu anaweza kufikiri kama mtoto mdogo, akaamua kufuta madudu yake kazini kwa njia fupi isiyo na akili. Hivi karibuni, japo haikuwekwa wazi, Takukuru ilikuwa na mahojiano makini na viongozi wa juu TTCL, ili kubaini kile kinachoaminika, kuwa ni ubadhirifu. Lakini mara baada ya...
  3. K

    Bustani ya Eden ilikuwa wapi?

    Edeni ilikuwa Tanzania. Kwanza Olduvai Gorge, alipopatikana mwanadamu wa kale kabisa. Pili Madini aina zote yapo Tanzania, yaliwekwa na Mungu kuhakikisha kila hitaji la madini linapatikana. Tatu, uoto wa aina karibu zote za maua, ukienda Kitulo Makete utapata jibu. Nne vijito kila kona ili...
  4. K

    Unapendelea Bosi wa kike au wa kiume?

    Maea nyingi wa kike huwa na kisirani. Wanapenda uwatambue. Ila akikutunuku, mwanawane, umeula.....
  5. K

    Serikali na hisa zake kwenye kampuni binafsi inakuwaje?

    Kuna nyakati najiuliza sana. Pale ambapo Serikali Yetu Ya Tanzania, moja kwa moja, ama kupitia taasisi zake, inapokuwa na hisa kwenye makampuni, je ni mamlaka gani inasimamia maslahi na haki za Watanzania? Tunaweza kuzungumzia mamlaka kibao, ila hapa kwenye maeneo yenye maslahi ya umma, pia...
  6. K

    TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Kuna jamaa mmoja alishasema FB kwenye post ya mahojiano yake na StarTv. Mungu hadhihakiwi, na leo mnaona wenyewe.
  7. K

    KITA is back "Kwa Hasira".

    Kwa kipindi nalikuwa nagonjeka. Kuna maraia wanaroga sana. Sasa bado nina hasira na Watanzania wanaosaliti wenzao, wakiwa wanajua kabisa kuwa dhili ni yetu na wageni wanapita. Zaidi tunawasaidia kuiletea Tanzania hasara, hasa maeneo ambayo Serikali na taasisi zake wana hisa. Stay tuned, niuze...
  8. K

    2015 hakuna pa kukopa na kugharimu maisha

    Kuna nyakati unajiuliza mtanzania kama marehemu Mgimwa anazaliwaje? Kuna nyakati unajiuliza mtanzania kama marehemu Salome Mbatia anazaliwaje? Kuna nyakati unajiuliza watanzania kama Magufuli, Mwakyembe, Nagu, Migiro, Slaa, Zitto n.k. ambao kwa kiasi wamemuonesha mtanzania umuhimu wa uadilifu...
  9. K

    REX Atorney Mnahujumu Nchi Kushughulikia Vibali Vya Ajira

    Hivi karibuni, wadau niliwapasha kuhusu mfaransa asiye na vyeti wala sifa ya kufanya kazi nchini. Sasa nitataja hata jina lake, Stephen Augustino. Pia niliwataarifu kuhusu mwanamama mwenye asili ya Rwanda, anayetiliwa shaka kwa kuwa ana Passpoti ya Uganda, majina yake ni Catherine Rwegasira...
  10. K

    Hata Mamlaka huwa zinapigwa mkwara na wageni?

    NEMC wamekosa meno kabisa katika kushughulikia hili suala la ukaguzi wa athari za kimazingira. Kwa kifupi, kiwanda hicho kilichopo Songwe kinaonekana dhahiri kikiendelea na ujenzi wa kuongeza uwezo, ilhali hawana kibali. Sasa likitokea la kutokea atalaumiwa nani? Mkurugenzi anapokwenda NEMC na...
  11. K

    Hata Mamlaka huwa zinapigwa mkwara na wageni?

    Najiuliza sana wana JF, hivi huyu mwana mama wa Kifaransa, mkurugenzi wa Mbeya Cement, yuko juu ya nchi? Mnamo mwaka 2013 Desemba, walaji (watumiaji) Saruji walipata faraja kubwa kusikia ujio wa viwanda lukuki, na upanuzi wa vilivyopo. Dangote alifunika kwa mbwembwe kibao, nao ARM hawakubakia...
  12. K

    Hakuna umeme kanda ya kusini

    Tanesco Wamekufa. Kuanzia Sao Hill hakuna umeme hadi Tunduma. Transforma kubwa imekufa. Kiwanda cha Saruji Mbeya kimesimamisha uzalishaji. Je, ni RIHESO ya kuelekea uchaguzi mkuu? Naipenda Tanzania.
  13. K

    Kimenuka Vigogo Mahakamani

    Safi Sana.
  14. K

    Huyu George Maratu wa ITV style yake ya utangazaji ikoje?

    Kama hujui ngonjera hasa ya kichagga si rahisi kuajiriwa.
  15. K

    Operesheni kimbunga bado maofisini

    Ni kawaida kuona usalama wa nchi ukichukuliwa kisiasa zaidi, badala ya kuwa makini, na endelevu. Tulijionea raia wa Malawi na Rwanda waki "rasimishwa" baada ya sintofahamu na Joyce Banda na Paul Kagame. Ila naona hili halijafanyika ipasavyo. Ninachofahamu ni kuwa kuna wingu kubwa la raia wa...
  16. K

    Kansa ya uzazi (Cervix vs. Prostate)

    Tunaweza kuwa tunalalamika kuwa Kansa ya Shingo ya Uzazi imeenea sana, pengine ikawa inasababishwa na wanaume. Najiuliza kama una vijidudu vya Kansa Ya Tezi Dume, alafu yale maji-ute yanayosafirisha mbegu haviwezi kuweka makazi kwenye UKE? Na huu utaratibu wa kupiga kavu ni kawaida ndani ya...
  17. K

    Vibali vya kufanya kazi ni kaazi kwelikweli

    Fikeni Saruji Ya Wanyakyusa, mujionee kama hawa Wafaransa wana majibu ya ukiukwaji wa sheria za uhamiaji na taratibu zake. Mbaya zaidi wanamtumia Balozi wao kujaribu kuwalinda. Tena kuna tetesi Mkurugenzi Mkuu aliwahi hata kuwajibu mbovu baadhi ya wadadisi waliojaribu kufuatilia ukweli wa...
  18. K

    Vibali vya kufanya kazi ni kaazi kwelikweli

    Tena kuna vijana wametoka kampuni za uchimbaji dhahabu, ndiyo wapiganaji wa kumsafisha na kumlinda huyu bwana kwa nguvu ya pesa, pia ni wataalamu wa nani ni nani huko serikalini, wanajua mambo yote ya rasilimali watu na sheria. Wagombea Kazi Kwenu.
  19. K

    Vibali vya kufanya kazi ni kaazi kwelikweli

    Wana JF, najiuliza sana. Hivi hawa wahusika wa vibali vya kufanya kazi nchini wana kitengo kinachowaratibu kweli? Kwa mfano kuna raia wa kigeni hapo Saruji (kwa Wanyakyusa), hata elimu hana. Lakini kapata kibali, mbaya zaidi cha mambo ya utawala, wakati yeye yuko juu ya mambo yote ya fedha...
Back
Top Bottom