Search results

  1. ya mufindi

    Ulianzaje kujichua

    Huyu alisema ni mbunge kweli wabunge wetu ni hovyo nanma hii
  2. ya mufindi

    Sayansi katika siasa hutumiwa na vyama vya siasa na wanasiasa kwa namna nyingi

    Wewe jamaa ni muongo muongo ule uzi kuwa ulitumia baja ukaupata ubunge umeutelekeza huendelei tena
  3. ya mufindi

    Je, ulishawahi kukutana na hii hali?

    Kama vilabu vya msafiri pachafu mara uyu wuse uwonze ikihambule kilamwike.... Mwingine gese i komoni iyi... Mara wuse amacholo makali ga bure hela ulalevela i lipesa... Ila ngatulila uwulasi na musapulo gunya fitofu na simbilisi munono be..
  4. ya mufindi

    Kwanini mtu akiwa CCM mnamuita chawa?

    Mbona hujaandika namba ya simu Sent from my AMN-LX9 using JamiiForums mobile app
  5. ya mufindi

    Bilionea William Mungai achukua fomu kutetea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa

    Hana hela fomu hutolewa kwa wenhe hela tu hata hivo sitosahau mwaka 2020 wakati bilionea Wille sisi CCM tulivyo msakafia pamoja na hela zake tukainhiza watu ukumbini pale parokiani wakili kihwelo akamgaragaza kwa tofauti ya kura tano na yeye kihwelo akajiengua kwa maelekezo fulani chumi akapita...
  6. ya mufindi

    Bilionea William Mungai achukua fomu kutetea Uenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Iringa

    Hili ni kweli hapa mafinga wamuulize kitiga yuko vizuri ila Hana hela amebaki kuwa katibu tu wa wilaya wakati ilibidi awe hata mwenyekiti wa kanda ukiwa huna hela usiende chadema
  7. ya mufindi

    Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo Dkt Damas Ndumbaro

    Siku Ataiba pesa za kujengea viwanja na kuendeshea akademi Kisha aje atwambia alikuwa ANATANIA KUIBA FEDHA ZA UMMA
  8. ya mufindi

    Yupo sahihi au anaongea Uongo kuhusu wanawake wa Kyela?

    Lakini pia ukimuoa mmoja wa nakuja kwako kukaa ukoo mzima, utasikia huyu mtoto wa shangazi gwangu, Mara huyu mtoto wa binamu yangu, alafu wanajaa huku wavivu wanakula tu weusi wamenenepeana balaa
  9. ya mufindi

    Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Kipo full mtandaoni aliishia hapo ila ipo hardcopy
  10. ya mufindi

    Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Mimi nilikitafuta kwa udi na uvumba mtu alinitumia kutoka huko dar soft copy iliishia hapo tiga kampata the barstard kuscan ndo kipengere hata sijui huwa wanascann vipi labda tuwasiliane unielekeze nikusaidie
  11. ya mufindi

    Mwenye soft copy ya riwaya ya mkimbizi

    Mimi nilikitafuta nikakipata hardcopy nipo moshi ninacho hadi sasa
  12. ya mufindi

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    kagame siku uje ufanye survey kijiji cha sinai kipo mufindi kuna dhahabu nyingi kwa fununu ila wataalamu hakuna kuna milima miwili naifahamu haijaguswa ila kuna kitu siwezi kusema sana
  13. ya mufindi

    TAMISEMI mmeamua kunifilisi kwa kuninyima uhamisho!

    dharula maalumu ni kama ipi mkuu
  14. ya mufindi

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    hapa ni lufilyo boys kabisa mshkaji wangu sio
  15. ya mufindi

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    mbeya ulisoma lufilyo,rungwe sec au mwakaleli mzee wangu
  16. ya mufindi

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    nilipiga demu kwenye kilabu cha komoni na kihambule najilaumi balaa
  17. ya mufindi

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    dokta usicheke nisaidie mzee baba
  18. ya mufindi

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    ni kweli sister nitajie hata inbox tu nateseka balaa kama unaijua natanguliza shukrani
  19. ya mufindi

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    dada samahani naomba unitajie hiyo dawa ya uti sugu kama unaifahamu niende sasa hivi niliyatimba
Back
Top Bottom