Search results

  1. G

    Sonnabend Pediatric AIDS Foundation (SPAF)

    mimi pia nipo kwenye huo mtego. maelezo yako ni kama yangu. sasa kilichonishtua ni hiyo recommendation ya invigilator, wametoa link mbili za invigilator, lakini ni the same invigilator with two different links leading to the same website. lol! that caught my attention and i was like.. naaah...
  2. G

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    si wanasema leo ndo mwisho? asa internet cafe hapa naendaje jamani na usiku huu, yamebaki masaa tu. ninapokaa huku goba hakuna hata internet cafe inayoweza kua wazi usiku.
  3. G

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    natumia compyuta asee ila badoo. na internet ni nzuri tu, na nimetumia responsive browser (chrome). sijui hata natatua vp na mda unaisha tu
  4. G

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    nimeiweka ila wapiiii. nimefanya kukopi na kupaste kutoka rita ila wapiii
  5. G

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Tangu saa 10 najaribu kumaliza hii appeal inagoma kabisa. kipengere cha birth certificate verification kimekataa tangu juzi na namba ninazoweka ni sahihi copy and paste from rita. sijui shida nn na leo ndo mwisho few hours remained.
  6. G

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Daaah..... mkuu umetisha sana. Aisee ndio wenyeweeeee... daah.. nikisikilizaga huu wimbo nawezq shusha hata kreti 😂😂😂
  7. G

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta wimbo wa "chaupele mpenzi" remix. Wameimba bendi fulani kuna mdada na mkaka ila nimeukosa mtandaoni.
  8. G

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Namimi nahitaji huo wa haupele mpenzi remix. Pls kama uliupata
  9. G

    Mbunge: Tubomoe sanamu ya askari tuweke sanamu ya Diamond pale Posta

    Heh jamani hizi ni dharau kwakweli. Yaani huyo diamond hata na mgambo wa jiji tu huwezi waweka sawa, askari wana mchango mkubwa sana ktk taifa letu especially kama hao waliopigania nchi yetu
  10. G

    LED Monitor/Tv inauzwa

    Mbona picha za kudownload sasa
  11. G

    Movie gani ambayo ina mchango mkubwa katika maisha yako?

    a man called god 'ya kikorea ni noma, star n yule aliyecheza jumong. ila hii wako mjini na wanatumia vitu vya teknolojia kubwa
  12. G

    Bachelor of science general

    MODS DO SOMETHING, tumemchoka mpotoshaji huyu mwenye ID ya KIKOOZI
  13. G

    Computer science and computer enginering

    Dogo "mbuzi Na Kuu" una presha sana mdogo wangu, mpaka unaamua kufufua nyuzi za zamani! wewe sasa huna jinsi, kasome tu hyo c.science. utaangaika kweli kudili na hawa watu
  14. G

    wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

    yaani huyu jamaa anaeitwa KIKOOZI mwogopeni sana, hata akireply kwenye thread yoyote msimtilie maanani. anajifanya mhitimu kidato cha sita, mara ajifanye mtu aliyemaliza chuo toka 2008 na kuwapotosha watu humu ndani, MODS TUONDOLEENI HUYU MTU
  15. G

    wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

    hahahah.. ndo maana ukajiita KIKOOZI, we kweli kikohozi, sasa huko pm unaenda kufanya nini!! wewe c una gpa ya 2.2,?
  16. G

    wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

    zikitokea ajira za IT, basi mwenye computer science ndiye mjuzi zaidi hivyo hupata kiurahisi compared to IT. ajira za masuala ya computer na mawasiliano ni lundo, na kwahuko tunakoelekea ni nying zaidi
Back
Top Bottom