Search results

  1. T

    Kakobe katumia sayansi gani umeme usipite kanisani kwake?

    i like the way you argue!! Like it or not there is supernatural part of life...Science, physics and has its limits brothers, God the author of these laws and principles is the God of supernatural(take it or leave it).. The God of natural is also the God of supernatural. It is difficult for...
  2. T

    PPFT: Askofu Kakobe usitumie mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi

    Huyu aliyetoa tamko hili hajitambui, ni mchumia tumbo tu! Kakobe alichokifanya ni kuuleza umma wa Watanzania uhalali wa Kuidai Tanganyika yao, na kwamba Katika Mpango wa Mungu Kuidai Tanganyika siyo dhambi.. ni Kibiblia Kabisa kuidai Tanganyika. Huyu aliyetoa Tamko hili ana maslahi fulani na...
  3. T

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Hongera washirika wa Kakobe! Mungu amewapa hiyo neema ili muwahubiri watu wote habari njema kabla ya unyakuo... Nawasihi msiache kuhubiri. Mkiacha roho za watu zitaangamia halafu mtadaiwa siku ya mwisho... Nimependa sana.
  4. T

    Hivi ni haki kuhubiri hovyo hovyo kwenye mabasi ya umma?

    Ni halali tena sana, Mungu azidi kuwapa neema wazidi kuhubiri kweli ya Neno... Kwa upande wangu naona wanatukumbusha ili tuisikie injili... Naona Mungu amewakumbuka hata wale wasioenda kanisani, ameamua kuwafuata huko huko kwenye mabasi na mitaani. Kweli Mungu hapendi kuona yeyote akipotea.
  5. T

    CCM inamshawishi Mwl Christopher Mwakasege achukue fomu Arusha mjini!

    ndugu yangu umeenda mbali sana, acha mzaha huu unaoufanya, kama ni siasa ongea siasa, acha kumdhihaki mungu. Mimi ni pro-chadema lakini siwezi kufika ulikofika ndugu yangu. Tusiende mbali hivyo ndugu yangu. Yesu ni mwokovu wa ulimwengu, usilitaje bure tena kwa mzaha jina la mungu.
  6. T

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    una maanisha nini? unataka wapagani ndiyo wawe wabunge????, ili waende pemba na bagamoyo??? watu wengine bwana,,,,,,,,,,
  7. T

    Pendekezo: SLAA amrithi SUMARI Arumeru!

    Mbowe aliwahi kugombea uraisi, pia Mrema.
  8. T

    Default Matokeo ya form four hatima ya tanzania: Je nini kifanyike?

    ni kweli kabisa kuwa tumekosa uzalendo, ndiyo serikali ina sehemu yake ya kufanya, lakini kwa upande mwingine sisi nasi tuna sehemu ya kufanya ili kufanikisha hili na kuona tanzania yetu inakuwa mahali pazuri katika elimu na masuala mengine. Nimependa sana comments zako.
  9. T

    DIT VS COeT, UDSM!

    tunahitaji watu wa jinsi hii, siyo mtu unavutia tu kwako, ilimradi uonekane uko pazuri, hatuendi hivyo. ASANTE SANA KWA KUSHAURI WADOGO ZETU. THANKS MUCH
  10. T

    LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

    TAARIFA KWA WAOMBAJI MIKOPO wanafunzi hawatasoma tena kwa kukosa mikopo. iliwashinda ada ya 70,000/= wataweza haya mamilioni? DOWANS ILIPWE MARAMOJA, TANZANIA KUNA VITUKO!!!!!!
  11. T

    TCU:Call for third (3rd) round application

    acha makufuru kwa Muumba wako! kupanga ni kuchagua, ni ubovu tuu wa kuweka vipaumbele na kusimamia kile kilicha na umuhimu, lakini tusifike mahali kulaumu eti kwanini nilizaliwa binadamu Tz na kusema heri ungekuwa mbwa au paka au mnyama gani ulaya. God has a plan for you. usijishushe kiasi...
  12. T

    UMEME: Tanesco, Ngeleja OMBENI MSAMAHA Kwa KAKOBE

    May The Almighty God bless you, umefumbua macho watu wengi. lazima watu tuwe na kicho mbele za Mungu, Amen.
  13. T

    NGELEJA ulilolianzinsha na KAKOBE ndo unalimalizia sasa

    mwisho wa yote ukweli unabaki kuwa umemem haupiti pale kanisani, full stop
  14. T

    NGELEJA ulilolianzinsha na KAKOBE ndo unalimalizia sasa

    BABA Kakobe alisema wazi kuwa yeye ni mtu wa Mungu wakitubu watasamehewa na umeme utapita, ila wasipotubu watahangaika wakome, walifikiri wanashindana na mwanadamu kumbe walikuwa wanashindana na Mungu mwenyewe, kama wakati wa Eliya , Eliya akasema mvua haitanyesha juu ya nchi kwasababu mfalme...
  15. T

    Hili la Loliondo tulifikiria au tulikurupuka!

    kitu gani kinacho mtofautisha na mganga wa kienyeji? Kwasababu amefunuliwa? Hata mizimu huleta ufunuo wao/
  16. T

    CCM kutekeleza sera ya Chadema kuhusu nyumba za "Tembe"?

    umemwangalia ana post ngapi?
  17. T

    Nimeshindwa, Nahama Chadema

    hujakomaa kisiasa, ingekuwa kama Nelson Mandela Kule S.A ungevumilia miaka 27 jela? hebu kua basi/ UNAYUMBA NA MAMBO KAMA HAYA , YAKO MAKUBWA ZAIDI YANAKUJA SIJUI UTASEMAJE// ILA NENDA KWA WANA CCM WENZAKO, HUKU HUTUFAI HATA KIDOGO. INGEKUWA UMEFUKUZWA BUNGENI KAMA ZITO KIPINDI KILE SI NDIYO...
Back
Top Bottom