Hapo namba 2 angecheza Mwenda, G Michael akacheza 3,Kapombe na Shambalala wakacheza kama mawinga wa uwongo, Wawa akacheza kama 6 wa uwongo na Engeneer kama 8 wa uwongo, Onyango na Inonga kama kawaida, Mgalu Sakho mbele sawa. Hapo hata moja hawapati
Tumetoka kwa M Mungu na kwake sote tutarejea. M Mungu amsamehe madhambi yake na amlipe kwa mema yake. Amin.
Dini zetu zinatufundisha kwamba mtu anapotangulia mbele ya haki husemwa kwa mazuri yake na sio mabaya yake. Wach
Kwa maoni yangu, bila kujali nini msimamo wa Serikali, sisi kama watanzania, wenye nchi, tunahaki na wajibu wa kutafakari juu ya mstakbari wa kesho ya nchi yetu. Mijadala inayofanyika katika mtandao huu na mitandao mingine ya kijamii inaonesha pasna shaka kwamba kuna majibizano yanayoashiria...
Pamoja na yote haya nini kifanyike ili kuondoa mivutano ya kidini na chuki za wazi zinazoanza kujitokeza kati yetui? Ningeshauri ili mjadala huu uwe na manufaa tujitahidi kwenda zaidi katika kutafuta suluhisho. Historia kama historia ni somo zuri na lina mambo mengi. Ukweli na relevancy ya...
Kaka Mohamed hata siku moja siwezi kufungua kinywa change kumtukana mtu yoyote katika ukumbi huu, achilia mbali wewe. Maandiko yangu ni yale yanayoonekana juu nikijibu maandishi ya kaka Adoloy sio Mpingashetani kama nilivyonukuu kimakosa yanayoonekana hapo juu hasa hoja yake kwamba chuki...
kaka mimi siwezi hata siku moja kukuita msomi fake. Maelezo yangu mimi ni yale ya juu niliyokuwa namjibu Mpinga Shetani katika maelezo yake hapo chini.
George Jinasa,
Kipi kinachokufanya wewe unitukane kwa kuniita "msomi fake?"
Tujaalie mie si lolote si chochote wala huo "usomi" sina.
Basi...
Kaka siamini kwamba unawatendea haki waislamu katika maneno yako haya makali. Maneno na majibizano ya namna hii yanachochea na kutia mafuta katika chuki miongoni mwetu jambo ambalo sote na kwa faida yetu tunapaswa kujiepusha. Ni vizuri kila mtu akaheshimu imani ya mwenzie. "Allah" nijuavyo mimi...
Mpinga Shetani, haya mafundisho ya watoto katika madrasa yamekuwepo toka toka hata kabla ya ukoloni na bado vijana na wazee waliyosoma katika madrasa hizo wameishi kwa amani na upendo na ndugu zao wa dini zingine. Hapakuwepo na majibizano ya chuki na hisia kali za kidini kama tunavyoziona leo...
Katika historia kuna mengi yaliyotokea na mimi nisingependa kujielekeza zaidi katika hayo. Historia itakuwa na maana kama itatujulisha wapi tulipo na wapi tunakwenda. Itakuwa haina maana zaidi kama itakuwa inaturudisha tulikotoka au kutupeleka kusiko na manufaa. Tatizo langu sio katika uchambuzi...
Haya mabadiliko ya ghafula ya hisia za kidini tunayoyashuhudia katika mitandao mbalimbali ya kijamiiyanatoka kweli chini katika jamii yetu au yanatoka mahali wengi tusipopajua.Yanaaksi hali halisi ya mahusiano tuliyonayo katika jamii? Posts nyingi zimesheheni chuki na hisia kali za kidini...
Mimi ni mbox2 mzuri tu lakini simba aw Zaina kwa for the first time nimekuwa KJ 841 Mafinga chini wa muimbishaji mash uhuru aw Danger Coy Operation Vyama Vingi C Mariba ambaye kwa sasa ni Kamanda wa PCCB Mwanza
Wanajamii forum tunakwenda wapi? Mbona midomo yetu na nyoyo zetu zinazidi kutawaliwa na chuki na ubaguzi tena vya kiidini? Na lugha za matusi tena ya nguoni? Ni nani ametuloga na tunafanya kwa faida ya nani? Tunanufaika nini na mijadala hii ya kutukanana na kuchukiana tena bila sababu? Ni nini...
Binafsi sina tatizo na kazi nzuri aliyoyafanya jaji Warioba katika mchakato wa katiba mpya japo Kama zilivyo kazi zingine za wanadamu mapungufu hayakosekani.
Ila nikimlinganisha na majaji wengine waliyowahi kuongoza Tume za mabadiliko ya katiba Kama jaji Nyalali na Kisanga nagundua tofauti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.