Search results

  1. E

    Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

    Hizi ni mentality mbaya za kishamba. Hebu angalia wafanyabiasha wakubwa jinsi wanavyofanya na wanazidi kukua kila siku. Mo wanacopy almost bidhaa zote za azam lakini sijawahi kusikia azam wakilalamika! Jambo wanazalisha exactly bidhaa wanazozalisha Azam na bado wanatumia Azam TV kutangaza...
  2. E

    Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

    Ni kawaida kabisa hasa kwa mabinti wenye miili mikubwa, binti yangu alivunja ungo akiwa na miaka 11 darasa la tano. Huu ndo muda wa kuongea nae kweli kweli tena kwa kutumia mafundisho ya dini. Kama ni mkristo mwambie mwili wake ni hekaalu la Roho Mtakatifu. Pia tumia maandiko kutoka 1Wakorinto...
  3. E

    Umewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji "Mtaalamu"? Ilikuwaje?

    Huu sio uganga bali ni tiba asili
  4. E

    KUMBUKIZI: Mada maalum ya kumuenzi Munga Tehnan na kazi zake

    Haya magazeti yalinijenga sana psychologically ingawa nilikua primary. Story 2 sitakaa nizisahau, moja ya yule kijana aliepoteza wazazi wake kwenye ajali yy akapona ila akabaki na alama usoni... Nyingine kijana ambae kila anachokiwaza kinatokea mf alikua anamchukia mdogo wake maana alipendwa...
  5. E

    My Corona relief trip and lessons therefrom

    Ndio mkuu nmekupata vizuri sana nashukuru. Naona think will be my trip next year Mungu akipenda
  6. E

    My Corona relief trip and lessons therefrom

    Sorry naomba unijibu kama hutojali. Inagharimu kama kiasi gani kwa kila kitu kuanzia usafiri, accomodation etc
  7. E

    Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Duka la kijanja kabisa ni kwa Maira complex
  8. E

    Safari ya Kwenda Mayotte: Mjuzi wa Kifaransa anahitajika

    Jifunze kupitia duolingo hutahitaji mwalimu
  9. E

    Vinyago/midoli vina roho

    This is so true. Mama angu alimwa sana ugonjwa usiojulikana yan kila mtu alijua anakufa tulihangaika hospitali lakini wapi akaanza kuwa kama anapagawa na mapepo au anachanganyikiwa hivi. Sasa akaja mchungaji kumuombea aakamuombea sana na badae akafanya maombi nyumba mzima. Pale home kulikua na...
  10. E

    Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

    Pen Pension gani wakat mumewe alifariki wakati wa kampeni
  11. E

    Nimechoka sana na maisha

    My dear, haijalishi ulifanya kosa gani, yote Mungu anasamehe kumbuka hata waliomuua Yesu walisamehewa. Tubu na jisamehe, Mungu awakubali wakosa
  12. E

    Kabrasha chumba cha kunyongea

    😂😂😂😂 ww sio wa kawaida
  13. E

    Kabrasha chumba cha kunyongea

    Naogopa hicho kifo kibaya cha adhabu. Namuomba Mungu nife peaceful nikiwa nmezungukwa na wapendwa wangu
  14. E

    Kabrasha chumba cha kunyongea

    Mungu atujalie mwisho mwema! Nmeogopa sana
  15. E

    Kwa yaliyonikuta, Mwanamke mwenzangu nakushauri usiwe na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume mmoja

    Hapana my dear, we pambana tu, usituingize kwenye matatizo yako. Sikubaliani na ww. Kwangu mm mwanamke ukishakua na mwanaume zaidi ya mmoja ww ni malaya (sorry to say this)
  16. E

    Utajiri halali! Dhana isiyo na chembe ya ukweli

    Ni kweli kabisa tena matajiri ni wabinafsi mno, kuna sehemu nlisoma Beyonce alitengeneza design yake ya nguo ambayo aliuza bei ghali mno lakini wanawake waliokua wanamfanyia kazi hyo walikua wanalipwa chini ya dollar moja kwa saa lakini alijigamba kwamba lengo lake ni kumuinua mwanamke wa chini
  17. E

    Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Du!maskini pole sana lakini mi naona ww ni dhaifu mno kwa mke wako. Hata kama hutaki kumuacha lakini lazima uwe na msimamo kama mwanaume, mwambie wazi unajua kila kitu, muonyeshe ushahidi, ongea nae camly bila kupanic Mwambie unampa nafsi afanye maamuzi nn anataka mpe muda ata wiki moja na...
  18. E

    Kwa hili Rev.Gamanywa hapana

    Asubuhi leo nmesoma waraka wa mtume Paulo kwa Wafilipi nmelinganisha na hii mada nmeelewa. Usipojua biblia hakika utakua mtumwa
Back
Top Bottom