Search results

  1. mkemiamkuu

    Gauge ya temp kushika chini tatizo ni nini?

    Habari wana Jamii Forum, naomba wenye kujua hili wanisaidie. Nimebadirisha rejeta ya gari yangu baada ya iliyokuwepo kuwa inavuja sana, niliunga sana na ikachoka kabisa, na hii niliyoweka ni mpya kabisa, lakini Cha ajabu nikiwa naenda safari ndefu kidogo mshale wa temp unashuka mpaka zero Ila...
  2. mkemiamkuu

    Shock up za MAZDA PREMACY

    Habari wana JF, nina MAZDA PREMACY ya 2001 shock up zake zimeisha, nipo Mbeya na nimetafuta huku hamna, nikauliza baadhi ya watu Dar nikaambiwa hazipatikani. Please naomba msaada km kuna mtu anaweza nisaidia kuzipata. Natanguliza shukrani
  3. mkemiamkuu

    Mwanamke mwenye watoto anahitajika

    Habari ndugu, nipo serious kwa hili. Nahitaji mwanamke aliyekwisha zaa ili nimuoe. Watoto wasizidi wawili maana nami nina watoto wawili tayari. Please kwa aliye serious ani pm
  4. mkemiamkuu

    Akina dada naomba kuuliza

    Hivi na nyie kuna wakati huwa mnaenda pm kwa mkaka kumchokoza vijisalamu vya hapa na pale?
  5. mkemiamkuu

    Naombeni ushauri

    Habari wana MMU, ni mara yangu ya kwanza kuomba ushauri hapa jf lkn kwa hili naombeni mnisaidie. Nilikuwa na girlfriend wakati nasoma chuo na tulipendana sana, tukapoteana ktk harakati za maisha na kila mmoja akapata mwenza wa ndoa. Mwezi uliopita wa 11 nikaona call baada ya kupokea nikakuta...
Back
Top Bottom