Search results

  1. B

    Tabia ya kuning'iniza funguo za gari kiunoni

    Nafuu hao wanaoning'iniza funguo na magari wameacha home kuna wengine wanafunguo za gari kumbe hata hiyo gari yenyewe hana Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
  2. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Asante sana
  3. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Hapana boss si hivyo mshana jr ni mkongwe hapa na nyuzi zake naona zinapitiwa na wadau wengi
  4. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Nitaandika yote hayo kwa kirefu ni story ndefu kidogo
  5. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Sidhani sababu kuna nyingine alikuwa anaongea hadi kikabila
  6. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Niliwahisi dk za mwisho wakati nimeishaweka pesa ndo maana nilichukua picha kwa sababu walianza kuomba omba pesa nje ya makubaliano
  7. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Sio Kwamba sijaenda nimeishaenda boss
  8. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    bunazi, Mshana Jr
  9. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    cc Mshana Jr
  10. B

    Naombeni msaada nimetapeliwa

    Wanajf kwa kifupi nimetapeliwa na hawa watu hapo chini, wameniuzia gari hewa kwa yeyote anaewafahamu wahusika hapo chini naomba anifahamishe.
  11. B

    Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Daktari amesema nitumie ndege hivyo sina namna
  12. B

    Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Nimesikia pale mjini panaitwa ambassador kuna sehemu wanatoa ndo sababu nimeuliza kama kuna mtu huenda anapafahamu
  13. B

    Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Ubalozini wanafungua jumatatu na mm hiyo siku ndo naondoka niko njia panda boss
  14. B

    Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Tutapishana nao njiani labda sababu jumatatu nataka nirudi home(Tanzania)
  15. B

    Niko Kenya nataka kuongeza muda wa passport

    Jamani wana jf niko nairobi kenya nilikuja kimatibabu sasa passport yangu ya muda imeisha na sifahamu nianzie wapi ubalozini penyewe nimegoole nimeona mtaa ulipo ila sipafahamu na Weekend hawafanyi kazi swali langu sasa wadau ni kwamba tofauti na ubalozini sehemu gani nyingine naweza kuongezewa...
  16. B

    Msaada:je dawa ya mzizimkavu ya upungufu wa mbegu za kiume inatibu tatizo?

    Jamani wana jamiiforum wenzangu nauliza kwamba kuna mtu ameishawahi kusaidika na dawa ya mzizimkavu ya low sperm count,imenichukua muda mrefu kupata kababy ka pili inabidi twende kupima na tumepima takribani mara mbili majibu yakawa yaleyale dokta amesema huenda ni pombe Kali ninazopiga kwa...
  17. B

    Hii ndio Kigoma halisi, ukisikia nyingine ujue photocopy

    Mkuu pleo kwanini wanatumia hayo maneno sana katika kuelekeza (mashariki&magharibi)
  18. B

    Niache kazi au nivumilie kashfa za bosi?

    Vumilia bwana mwezi tu unalalamika komaa angalau nusu mwaka
  19. B

    TUNAKODISHA

    Unakodisha kwa bei gani na miaka mingapi? Kama miaka kumi mpe kanjibai
  20. B

    Hii ikoje wadau? Mtu ana gari no A anabadili na kupata D?

    Alichoongea dyteromaikota ndicho alichokifanya huyo rafiki yako tra wakati mwingine munawasingizia tu .
Back
Top Bottom