Mtoto hafugiki kama mnyama mzee ni kiumbe mwenye Utashi. Uki mnyima asiangalie Tv kwako ataangalia kwa Jirani kama sio vibandani. Unapoteza nguvu zako bure
Nilikuwa na kiherehere cha kununua A30 zilivyotoka tu hela ndefu. Ila laiti ningejua zingekuja kutoka nyingi hivi na kwa bei rahisi mara 10 ningenunua Tecno nitulie tu. Kiufupi inapoelekea kwa style hii Samsung wataipoteza brand yao kizembe
Issues nzima za designing, editing pamoja na graphics na mostly huwa natumia Adobe Master collection na kazi zangu nyingi natumia adobe illustrator, adobe photoshop, Adobe premier pro, pamoja na adobe after effect.
Uchaguzi wa laptop nzuri ni miungoni swala moja wapo muhimu sana hususani kwa graphics designers pamoja na sounds producers bila kuwasahau watu wa maswala ya IT.
Sasa kama graphics designer nimekuwa na wakati mgumu hususani katika uchaguzi wa laptops nzuri kwa maswala ya designing kati ya...
Ivi hizi halmashauri na serikali za mitaa lakini pia taasisi mbalimbali zikiwemo za mazingira na afya zipo wapi katika kuangalia swala hili la masoko kufanyika kwenye mitaa ya wananchi. Hii hali ishakuwa kero sana hapa buguruni. Mtaa unafurika matenga masaa 24 hamuoni kama mna hatarisha maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.