Search results

  1. Thiago Silva

    Ingieni kwenye page ya Ntibazonkiza kule Insta, anadai wanampigia simu kumrubuni

    yaan wana uchoko(ukabwili) mwingi sana!
  2. Thiago Silva

    Haya mambo ya kipumbavu mmeyalea wenyewe, mnacholalamika ni nini?

    Wenye akili wale wawili wamekaa kimyaaa, ila nyie mazuzu sasa?
  3. Thiago Silva

    Mo Dewj weka bilioni 20 zetu, acha janja janja

    andamaneni wewe na familia yako .
  4. Thiago Silva

    Simba haina timu ya kuifunga Yanga. Ikitokea Simba imemfunga Yanga nakalia moto bila kuwa na nguo

    na mimi ndo namshangaa hapa! Amekosa kingne cha kukalia?
  5. Thiago Silva

    Nani kakosekana kwenye kikosi hiki?

    De jong, nainngolan na raul merelez watawaita watu kipindi cha pili
  6. Thiago Silva

    Tatizo la courses katika mfumo wa ajira za TAMISEMI

    Dah! Hili tatizo linatukumba wengi!
  7. Thiago Silva

    Ajira 17,412 kwa kada za Elimu na Afya zatangazwa. Wananchi wenye sifa wahimizwa kuomba nafasi

    wanakazana kukuambia wewe omba tu , wametangaza bungeni.
  8. Thiago Silva

    JamiiForums Usiku wa manane

    02:16
  9. Thiago Silva

    Aina 15 za wanawake ambao ukikutana nao unapaswa kuvaa condom

    vaa condom ? Ukimwi hauzuiriki hata kwa condom za bati, Dawa ni moja tu nasema acha uasherati.
  10. Thiago Silva

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Lini iwe zaidi ya jumatatu ndugu zangu?
  11. Thiago Silva

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    sure....komaa nao ni kali sana nayo
  12. Thiago Silva

    Njoo tushuke mistari ya za kitambo

    Ukimwi hauzuiliki hata kwa kondomu za bati, dawa ni moja tu nasema acha uasherati.
  13. Thiago Silva

    Diamond na saa fake

    Kumbe hata saa fake washazipiga marufuku kuvaliwa tz??? Maisha yako mbio sana
  14. Thiago Silva

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Lord Eyes ft mwasiti- kwa nini...diss kwa nikki wa pili Mabeste ft msechu- Nishauri ...anawadiss b hits
  15. Thiago Silva

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Wamejichanganya -Gk na ECT wanawadiss AY & FA
  16. Thiago Silva

    Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

    katika suala la michezo kuendelea amenifurahisha (kuna wakati saa mbovu nayo huonesha muda sahihi)
  17. Thiago Silva

    Chemshabongo kwa wenye akili tu!

    Uyo wote ndo mfupi
Back
Top Bottom