Search results

  1. K

    Nahitaji vyoo vya kukaa na kuchuchumaa

    Wakuu habari zenu, Ninatafuta sehemu wanapouza vyoo vizuri na imara vya kukaa. Kwenye pita pita zangu humu mitandaoni nimeona choo cha Arrow wanasema ni kizuri sasa sijui kinawapatikana wapi pia kama yupo anayefaham brand nzuri zaidi na imara tafadhali naomba mrejesho. Pia ninahitaji vya kukaa...
  2. K

    Nichukue gari gani kati ya hizi?

    Wakuu nawasalimu, Kutokana na ushauri na maoni pamoja uhalisia wa mahitaji yangu nimebaki na option 3. 1.IST old model 2.Spacio new model 3. Premio old model Wakuu naomba ushauri wenu specifically nichukue gari gani yenye engine gani nzuri maana naona engine ni nyingi afu zinatofautiana na ya...
  3. K

    Gari nzuri ya CC chini ya 1500 budget 14m-18m

    Natumaini wanajamvi wote ni wazima. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa siku za usoni natamani na mimi nipate usafari kwa ajili ya matumiz ya familia na mishe za hapa na pale ruti ndefu mara chache sana 1 au 2 kwa mwaka. Nimejaribu kupitia aina mbali mbali za magari hadi sasa...
  4. K

    Katika bati za ALAF ipi nzuri kati ya versetile na romantile?

    Wakuu poleni na majukumu. Nimejaribu kupitia humu uzi totauti tofauti ila bado sijapata jibu. Naomba kwa anayejua bati nzuri za ALAF Gauge 28 kati Romantile na Versetile ipi nzuri?? Uzingatia huu ukanda wetu unachumvi sana na site yangu haipo mbali sana na bahari. Natanguliza shukrani zangu...
  5. K

    Kesi ya ubakaji na ulawiti ina dhamana?

    Wakuu habari zenu?? Tafadhili kwa maenyeuelewa wa masuala ya sheria naomba mwongozo hivi kesi ubakaji na ulawiti je inadhamana..? Mfano mtuhumiwa amekamatwa kwa tuhuma za kumbaka na kumlawiti mtoto wa miaka saba... wakati bado hajapelekwa mahakamani je anawesa kupata dhamana???
  6. K

    Painting company

    Habari zenu wakuu Kwa yeyote anayejua kampuni inayofanya painting kwenye walls for advertiment please naomba mnipatie jina na adress zao. Natanguliza shukrani zangu kwenu
  7. K

    Msaada juu ya nguo za mitumba

    salam kwenu wanajamnvi..!!! Wadau naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua ni wapi zinapatikana mabalo/marobota mazuri ya nguo mixer za watoto kuanzia O-5 ya grade ya kati na pia naomba kwa anayejua ni sehem gani naweza kupata soko zuri nikimaanisha sehem nzuri ambayo naweza kuuza na mzigo ukawa...
Back
Top Bottom