Search results

  1. Jidu La Mabambasi

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Mtu ambaye hajapitia ingalau hata mgambo utamjua tu.
  2. Jidu La Mabambasi

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Wewe mpumbavu halisi, hohehahe, usiye na mbele wala nyuma unisikitikie mimi mpumbavu original, anayetaka kukupa ulaji?
  3. Jidu La Mabambasi

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Mi nakutaka wewe mpumbavu halisi unichimbie choo. Nitakulipa vizuri.
  4. Jidu La Mabambasi

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Kwa kuona hilo, sasa jijibu mwenyewe, mpumbavu halisi nani? Maana mpumbavu mimi, nitakuajiri wewe mpumbavu halisi unichimbie choo!
  5. Jidu La Mabambasi

    Boniface Jackob afika kituo cha Polisi cha Oysterbay ili akamatwe kama alivyoagiza RPC

    Hala hala mkuu, usijejikuta actually mpumnavu ni wewe. Hapo ulipo najua hata upau huna mfukoni, unaishi mbavu za mbwa, unashindia chipsi dume, ukiumwa unaenda kwa mganga wa kienyeji, kupanda ndege kwako ndoto! Sasa mpumbavu nani hapo, jipime! Tunataka uwe kama sisi, wewe endelea wa wapumbavu...
  6. Jidu La Mabambasi

    Daraja la Salender laanza kumong'onyolewa na Mafuriko, Magufuli aliona mbali kutujengea Daraja la Tanzanite!

    Hiyo ndio mindset ya waafrika. Vocabulary ya maintainance haimo akilini kabisa. Majengo yaliyojengwa na warumi, kwa wenzetu mengine bado yapo, over 2000yrs ago!
  7. Jidu La Mabambasi

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Hai vijana walikuwa hawajui wanacheza na moto. Na umewawakia.
  8. Jidu La Mabambasi

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Mkuu kwa miaka ninayomfahamu hsjawahi kuzozana na mtu kizembe.
  9. Jidu La Mabambasi

    Diwani ashindwa jaribio la kumchafua kwa makusudi Waziri Mstaafu Kawambwa huko Bagamoyo

    Diwani mstaafu wa Kiromo anayeitwa Hassan Wembe, ambaye hana historia nzuri sana, amefanya jaribio la kihuni na kuudhi kwa kumzushia tuhuma za uongo aliyekuwa waziri Awamu ya Nne, mh. Shukuru Kawambwa. Clip iliyorushwa mitandsoni na kusambaa kama moto wa nyika, ilikuwa ikimtuhumu ati Kawambwa...
  10. Jidu La Mabambasi

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Bwawa limepasuka huko juu mawinguni! Ni balaa!
  11. Jidu La Mabambasi

    Yawezekana Miundombinu ya DSM ni Bora kuliko ya Nairobi Mafuriko yamedhihirisha hilo, tunaishukuru CCM na Rais Samia

    Nyie ndio vichawa uchwara! Unamshukuru Chalamila na Rais leo wakati maendeleo ya Dar ni toka 1890s? Hata baba yake mama na babu yake Chalamila hawajazaliwa! Nyie ndo mkipona ajali mnamshukuru mama kwa kupata majeraha kiduchu!
  12. Jidu La Mabambasi

    Aliniambia hana hisia na mimi ila sasa hivi hachoki kupiga simu

    Kachacha, hana vocha. Usije kuwa mbuzi wa shughuli.
  13. Jidu La Mabambasi

    Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

    Mkuu usilinganishe masuala ambayo hayalinganishiki na kesi za vibaka. Sijui unamuingizaje Magufuli na complexity ya kesi zake na hawa watu waliopotea.
  14. Jidu La Mabambasi

    Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Kwa hiyo kuna vitabu tumevisoma kuwa Mtume SAW, alikuwa peodophile, inatosha?
  15. Jidu La Mabambasi

    RC Makonda atinga Makao makuu ya CCM Dodoma Kuhojiwa

    Makonda kaitwa, kaitikia! Tarehe 12 April Makonda alisikika na kuutangazia umma, mbele ya Rais Sami, alisema: " Nawajua kwa majina na leo tarehe 12 April, nataka iwe mwisho kuwatukana watu kwenye mitandao ya kijamii kumtukana Rais Samia na jumatatu ,tarehe 15, ikiendelea, nataja majina, wengine...
  16. Jidu La Mabambasi

    Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Mapenzi na utamu wake, yana run dunia.
  17. Jidu La Mabambasi

    Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

    Majuzi Mama Samia kamsifia Makonda hadharani. Haijapita hata wiki Makonda huyo huyo anamdhalilisha mama Samia na serikali yake. Ni vema mama Samia akasikia ushauri, hata wa mitandaoni, Makonda hafai! Madudu ya Makonda yanampaka matope Mama Samia.
  18. Jidu La Mabambasi

    Kiona Mbali: Bashite kama Lowassa; Mama kama Kikwete. Kisha Bashite atajiuzulu kumuokoa Mama

    Mimi naona karibu. Siasa mchezo mchafu. Makonda na waliomtuma walifikiri wana piga fimbo ya karipio, kumbe wanatoboa mtumbwi. Na nchi kavu bado mbali.
Back
Top Bottom