Search results

  1. K11

    Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

    Huku ndo mnakuja kupozea machungu yenu?. Mimi nimekaa pembeni nikisubiri msimu ujao nione akina Mangungu watakuja na maigizo/vyuma gani ndo nirejeshe ile ari ya juu ya kuishangilia/kuizodoa Simba yetu.
  2. K11

    Niambieni majina halisi ya hawa wasanii

    Viol
  3. K11

    Shule za Dar zifungwe kwa muda mpaka mvua zitakapokoma au kupungua

    Pole sana mama Tanganyika
  4. K11

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Nchi inajengwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno. Bahati mbaya tuna wenye meno makali tupu kila idara
  5. K11

    FT: KVZ 0 - 2 Simba | Nusu Fainali Kombe la Muungano | Amani Stadium | 24/04/2024

    Haya mashindano ya propaganda. Japo mimi ni mwana Lunyasi ila kwa hili ni siasa tu. Mapinduzi cup ni bora kuliko hiki kikombe cha chai
  6. K11

    Amepotea na hajulikani alipo kwa wiki kadhaa sasa

    Wasisahau kwenda kwa Ashura kumuulizia, akikosekana huenda amepitiwa na wasiojulikana.
  7. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Tayari tangu jioni kama saa kumi na mbili, hata wewe kesho uhakika
  8. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mzee haujapata tu?
  9. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Tuko kwenye Idara zisizohusu ulinzi na usalama
  10. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hata mimi
  11. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Umeshapata mzigo?
  12. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Salary slip kwangu zinafunguka tu kwenye mfumo wa salary slip portal, ila huku kwenye ess sijawahi fungua ikakubali. Nimeshajaribu mara nyingi tangu huko nyuma ila sijawahi fanikiwa.
  13. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Hata nikifungua miezi ya nyuma bado nikifika hatua hiyo sitoboi
  14. K11

    Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mbona salary slip kwenye ess baada ya view kukamilika, ikija open kitufe chake ukikibofya haifunguki?, inatakiwa nifanyeje ili niweze ku-open salary slip kwenye ess?
  15. K11

    Naomba ushauri: Kijana wangu amepata kazi Shirika la Good Neighbors na Halmashauri, aende wapi?

    Halmashauri ni kazi ya kudumu ila huko kwenye mashirika ni mkataba, hivyo aache huo mshahara mnono wa muda akale mshahara mwembamba wa kudumu.
  16. K11

    Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Kwenye siasa nyie ni maadui slio ndugu tena ktk imani?
  17. K11

    Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Ndugu ktk imani lakini bado hawana undugu kivitendo, nitashangaa akilaumiwa USA na washirika wake kuwa wamesababisha kusiwepo na mechi. cc Maghayo MK254
Back
Top Bottom