Search results

  1. B

    Elections 2010 Chonde chonde tanesco,msikubali kutumika igunga kesho

    Kwa kawaida upigaji wa kura humalizika saa kumi jioni na kinachofuata huwa ni kuhesabu kura,kuna uwezekano mkubwa kesho umeme ukakatwa kwa hila za kujenga mazingira ya wizi wa kura,hatutaki fujo tanesco,hatutaki giza igunga
  2. B

    Enyi viongozi wetu wa dini

    Nitafurahi na kuwa na amani sana kama kila kwenye mikusanyiko ya ibada zetu za ijumaa,jumamosi na jumapili hasa mwaka huu wa uchaguzi viongozi wa dini zote kutenga muda maalum wa kutoa elkimu ya uraia ili watu waweze kufanya maamuzi sahihi siku ya kupiga kura,tuweke kando itikadi zetu,tulikomboe...
  3. B

    JK fanya maamuzi magumu

    Tafsiri ya maamuzi magumu ni pana,ila hapa nataka kuzungumzia uwazi wa jk kuwaambia watanzania ni kivip aliingia madarakani uchaguzi uliopita,akili kuwa yote mabaya watu wanayoyaongea kuhusu utawala wake ni sawa,akubali uwepo wa ombwe la uongozi,na atangaze kujitoa kwenye mbio za kuwania urais...
  4. B

    Tucta tupo nyuma yenu

    NI MWAKA WA MAPINDUZI MAKUBWA KWA KILA IDARA NA KUONDOKANA NA OMBWE LA UONGOZI LINALOSABABISHA KERO NA MATESO KWA WANANCHI,MAISHA NI MAGUMU KWA WAFANYAKAZI NA WATU WA KAWAIDA,TUCTA MTOE TAMKO KALI BILA WOGA HAKUNA KITU MTAKACHOPOTEZA BALI KULETA UKOMBOZI WA KWELI,KURA ZENU NA ZA JAMAA ZENU NI...
  5. B

    KwAnini tuwaendekeze?

    UKIACHILIA MBALI VYOMBO VINGINE VYA HABARI,HIVI VYA UMMA KILA SIKU VINAZIDI KUWA VITUKO KWA KUEGEMEA UPANDE MMOJA NA TENA PENGINE HATA KMSHAMBULIA MTU TISHIO KWAO KWA MTU WAO KAMA WALIVYOFANYA JANA NA LEO KWA MGAYA WA TUCTA,WANATOA WAPI UJASIRI?WANAJUA NI MALI YA UMMA?WANAFANYA KWA MASLAHI YA...
Back
Top Bottom