Search results

  1. palalisote

    Dr. Slaa akwea pipa na kuondoka nchini [PROPAGANDA]

    Moderator: Picha hizi chini si za leo, zinatumika kufanya propaganda. Dr. Slaa yupo nchini na JamiiForums imewasiliana naye na kuthibitisha hajaondoka nchini ====== Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye...
  2. palalisote

    Yaliyojiri UKAWA na Waandishi: Wajibu tuhuma za Dr. Slaa

    Masaa machache yamebakia ili (UKAWA) Waongee na wanahabari juu ya Tuhuma dhidi yao zilizotolewa na Dr. Slaa. ============ James Mbatia: Mjue kwamba, kwenye UKAWA, Kahangwa alikuwa mgombea ambae ametia nia kwa NCCR mageuzi, Lipumba likuwa ametia nia kwa chama chake cha wananchi CUF na CHADEMA...
  3. palalisote

    MwanaCCM amlaani Mkurugenzi Manispaa ya Ilala kuhusu viwanja vya Jangwani

    Kumekucha baada ya mkurugenzi wa halmashauri ya manispaa ya Ilala mapema jana kutoa barua ya zuio kwa UKAWA kupitia CHADEMA kutotumia viwanja vya jangwani kufanya ufunguzi wa kampeni za uraisi 29/08/2015, baadhi ya wanachama wa CCM wamekuwa na maoni tofauti: Dk. H.Kigwangala "Alichokifanya...
  4. palalisote

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Undumilakuwili

    Wakati CCM wanazindua kampeni zao pale jangwani walizidisha muda ya ule unaokubalika wa saa 12 jioni hatukuona kalipio lolote lile toka NEC kuwa CCM walivunja kanuni. Wapinzani walipoanza kuwatambelea wapiga kura wao NEC imeamka usingizini na kudai wamevunja kanuni. Tunaomba NEC popote pale...
  5. palalisote

    Urais 2015: NEC yamuidhinisha Lowassa na mgombea mwenza kupeperusha bendera ya CHADEMA

    Mgombea urais kupitia tiketi ya CHADEMA mh. Lowassa na mgombea Mwenza Mh. Duni Haji wamekidhi vigezo vyote na muda mfupi uliopita NEC imemuidhinisha kuendelea na hatua ya kampeni. Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea mwenza mh. Juma Haji Duni...
  6. palalisote

    Kuku wakicheza mpira

  7. palalisote

    CCM waache ‘shingo feni’

    Kabla ya Lowassa kutamka kujiunga na Chadema, yamekuwapo maneno mengi kutoka chama tawala na jitihada nyingi za kutaka kumzuia asiondoke chama hicho. Tangu mwaka 2008, wakati Lowassa alipojiuzuru nafasi yake ya uwaziri mkuu, yamesemwa mengi juu yake. Kwanza, zamu ya CCM kumsema Lowassa...
  8. palalisote

    Prof. Baregu: CHADEMA tuko wamoja

    PROF. Mwesiga Baregu amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kingali kimoja na sasa imara zaidi. "Ni kweli, kulikuwa na mjadala mkali ndani ya chama, juu ya kumpokea Lowassa. Kulikuwa na pande mbili. Wapo waliotaka Lowassa apokelewe na wapo waliopinga. Lakini mwishoni wote...
  9. palalisote

    Bikira zingine ni shiiiiiiiiiida

    “I’m Free!!!!” This is one of the more epic picture in this gallery. It seems as though wild thang wanted to show everyone that she was a complete virgin until today (her big day). It looks like she is even on a stage with a huge projector screen behind her. The grooms buddies better call him in...
  10. palalisote

    Tundu Lissu: Kwanini sikumpokea Lowassa, adai ndiye mwandishi wa Orodha ya Mafisadi

    Kuhusu Lowassa kuitwa fisadi na wabunge wa upinzani na hivyo kuonekana kama kusafishwa ndani ya CHADEMA, Lissu anasema kuwa kuhusu hilo yeye ndiye alikuwa mwandishi mkuu wa orodha ya Mafisadi kwa kushirikiana na Dkt. Slaa, jambo ambalo anakiri kuwa hawakudanganya hata kidogo. Anasema kuwa...
  11. palalisote

    Magufuli: Lowassa siyo saizi yangu

    Hiki ndicho alichosema Dk.Magufuli baada ya Lowassa kutangaza rasmi kuihama CCM,Asema CCM haitatikisika na itashinda kwa mshindo mkuu zaidi ya 2005,amtakia maisha mema ila kasema sio saizi yake atampwelepweta.
  12. palalisote

    Mikono juu

  13. palalisote

    Things women need

    Attention, Good Sex and Compliments.
  14. palalisote

    World Cup 2018 Qualifying: Tanzania mikononi mwa algeria

    Tanzania imepangwa kucheza na Malawi raundi ya kwanza ya mechi za mchujo kupata wawakilishi wa fainali za kombe la dunia 2018. Endapo itawatoa Malawi itapambana na Algeria katika raundi ya pili kutafuta timu zitakazounda makundi. Round one Ties to be played between October 5 & 13 Somalia v...
  15. palalisote

    US sanctions Tanzania's largest Commercial Bank, FBME over suspected ties to Money Laundering

    FBME, one of Tanzania's largest commercial banks, has been cut off from accessing the US financial system on suspicions that the bank has facilitated money laundering, terrorist financing, and organized crime. The action finalizes a 2014 ruling from the US Treasury Department's Financial Crimes...
  16. palalisote

    CHADEMA yaongeza muda uchukuaji fomu

    CHAMA cha Demokrasia na maendeleo (Chadema), kimefungua rasmi milango kwa watu wenye nia na sifa za kuwania ubunge na udiwani katika majimbo yenye wabunge wa chama hicho. Katibu Mkuu CHADEMA, Dk. Willibroad Slaa, amesema, kuwa wananchi wote wenye nia na sifa za kuchukua fomu za ubunge kwenye...
Back
Top Bottom