Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Undumilakuwili

palalisote

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
8,335
Reaction score
1,463
Wakati CCM wanazindua kampeni zao pale jangwani walizidisha muda ya ule unaokubalika wa saa 12 jioni hatukuona kalipio lolote lile toka NEC kuwa CCM walivunja kanuni. Wapinzani walipoanza kuwatambelea wapiga kura wao NEC imeamka usingizini na kudai wamevunja kanuni. Tunaomba NEC popote pale walipo wanijibu hili kwa ushahidi ni lini waliwaandikia CCM kuvunja kanuni.

tume1.jpg

tume2.jpg

tume3.jpg

Last edited by a moderator:
hawa tume wakiendelea kufuata maelekezo ya ccm watahatarisha amani
 
jamani hapa hatuna tume bali ni kamati kuu ya chama cha mapinduzi,

Wakikataa demokrasia basi ujue wamejiandaa kuishi maisha yasiyo ya kidemokrasia. Ila wakumbuke hakuna mwananchi mwenye hatimiliki ya nchi. Nchi hii tulipewa wote na Mungu.
 
Walitukana mpaka wakatukana na muda!! ccm walizoea kuloga sasa ulogi wao umefika mwisho! hatutaki kutawaliwa na walogi tena!!
 
Kilichopo ni kuandaa tume yetu kivuli, itakayohesabu mpaka nukta inayoandikwa siku ya kupiga kura, na wasimamizi wetu wote wawe ni sehemu ya tume hiyo nchi nzima,safari hii wacheze rafu zao zote kabla ya uchaguzi ila mziki wa uchaguzi mwaka huu hawauwezi, safari hii mimi mwenyewe MUNGU akinipa uzima wake kwa mara ya kwanza ntakaa kituoni mpaka watangaze matokeo, hata kama ni mita mia , ama mita mia mbili, sitoki pale,
 
hakuna sheria iliyovunjwa,
kupanda daladala au kwenda sokoni ni kufanya mkutano??
 
Kilichopo ni kuandaa tume yetu kivuli, itakayohesabu mpaka nukta inayoandikwa siku ya kupiga kura, na wasimamizi wetu wote wawe ni sehemu ya tume hiyo nchi nzima,safari hii wacheze rafu zao zote kabla ya uchaguzi ila mziki wa uchaguzi mwaka huu hawauwezi, safari hii mimi mwenyewe MUNGU akinipa uzima wake kwa mara ya kwanza ntakaa kituoni mpaka watangaze matokeo, hata kama ni mita mia , ama mita mia mbili, sitoki pale,

kwanza nakupa gwara mkuu, bila hivyo ihi kamati ya chama cha mapinduzi itapiga goli la mkono.

Ni kukomaa naotu mkuu kupanga safu nzuri kituo kwa kituo form kwa form nukta kwa nukta, kura kwa kura,mpaka kieleweke,
 
Tume ya CCM imejaa makada wa CCM kwa maslahi ya CCM ... UKAWA jiandaeni kupambana hadi kieleweke ... Hawa NEC watuonyeshe Barua waliyoiandikia CCM ...
 
Mimi napenda amani sana ila nayaombea machafuka kwa udi na uvumba, ili tuuane kwanza ili kuinyoosha tanzania yetu katika mstari mzuri wa kuheshimu utu na ubinadamu wa kila mtu. CCM bila damu kumwagika hawata tusamehe na manyanyaso yao. Nguvu ya uma ni muhimu sana this time
 
Tume ya CCM imejaa makada wa CCM kwa maslahi ya CCM ... UKAWA jiandaeni kupambana hadi kieleweke ... Hawa NEC watuonyeshe Barua waliyoiandikia CCM ...
magumashi yoyote hayatakubalika kabisa , ccm wajiandae kupokea matokeo machungu , hakuna namna nyingine .
 
Mungu ampeweredi Mwekiti wa NEC iliatende haki stahiki
 
Tume ya CCM imejaa makada wa CCM kwa maslahi ya CCM ... UKAWA jiandaeni kupambana hadi kieleweke ... Hawa NEC watuonyeshe Barua waliyoiandikia CCM ...
Kam huyu bwana angekuwa na akili timamu, angetaja hata kwa gelesha tu muda ulipitilizwa na CCM siku ya uzinduzi wa kampeni. Kila mtanzania alishuhudia kilichotea - sasa leo unatoa tahadhari au kukemea uvinjivu wa maadili bila kutaja ukiukwaji huo katika tamko lako!! hii ndi hali aliyotutajia nzee ya Kiwira pale jangwani.
 
Kilichopo ni kuandaa tume yetu kivuli, itakayohesabu mpaka nukta inayoandikwa siku ya kupiga kura, na wasimamizi wetu wote wawe ni sehemu ya tume hiyo nchi nzima,safari hii wacheze rafu zao zote kabla ya uchaguzi ila mziki wa uchaguzi mwaka huu hawauwezi, safari hii mimi mwenyewe MUNGU akinipa uzima wake kwa mara ya kwanza ntakaa kituoni mpaka watangaze matokeo, hata kama ni mita mia , ama mita mia mbili, sitoki pale,

Kitendo cha kuwanyima Ukawa uwanja wa kuzindua mkutano wao kwa UKAWA ni cha kishujaa kwa maana ya kuwa wanaogopwa sana!
 
Back
Top Bottom